Ngoja niropoke

Mwanamke wa shoka ni mama yetu Getrude Mongela sifa zimfikie mungu ambariki.Anajua kutofautisha cheo na mambo ya nyumbani
Ndiye aliyewambia muanze kujifunza kutongoza mabinti sio kutumia pesa tu, anza kutongoza kwanza pesa baadaye ndiyo maana mkiwaoa wanawake wanawaendesha wanajua ni madomo zege.
 
Dawa ya mwanamke siku zote ni mwanamke mwenzie, na hilo wanalijua na linawapa hofu sana........
Umemaliza mjadala. Wee kuwa na wanawake watano na hakikisha wote wanajua kuwa hawapo wao peke mbona watatia akili ata mavi yako watakula🤣🤣🤣🤣
 
Mfanyakazi mwezangu alioa Ke Dakatari kwa matarajio ya kampani kiuchumi.

Mwaka wa 8 sasa Me anaishi kwa maumivu makali rohoni sababu pesa ya Ke haijulikani inakokwenda, na hajawahi kununuliwa hata maji ya kunywa na Ke wake
Hapa mie ndio napoonaga hamna maana ya kuoa. Bora nijue tuu life napambana nalo mwenyewe basi. Sio eti ankaa na mtu ndani ya nyumba yeye ni kupokea tuu hatoi.
 
Kiuhalisia uko right kabisa
 
Huyo Adam yeye ndiye alipewa maagizo na akatamka mwenyewe huyu ndiye msaidizi wangu, kitu kilimfanya ashindwe kwenda naye Eva bustanini kama sio uvivu wakushindwa majukumu yake? Aanze kulaumiwa Adam kwa kushindwa kuwa kichwa bora.
Kubali sasa kuwa wanawake ni wadhaifu mno na wanahitaji ulinzi wa wanaume
 
Mwanaume kulalamika kisa mwanamke inaleta ukakasi sana. Anakushindaje mwanamke uliyeamua wewe mwenyewe kuwa huyu ananifaa kuwa mke wangu!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na wewe kwa sababu "mwanamke yeyote asiye mtii mumewe" ni nyoka, ni shetani haswaa.

Kumbuka shetani alikataa kubadilika baada ya kufanya kosa huko mbinguni akaasi mazima, hivyo hivyo mwanamke asiye mtii mumewe ni muasi ni shetani, moto wa jehanamu unamhusu.
 
Hata kama hukubaliani. Mashetani wataendelea kuwepo and they don't care anymore.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…