Daa huyo kazidi sasa, ila wanaume huwa mnajisahau mwanzoni kabisa wa mahusiano, anajielewa anafanya majukumu yake vizuri asiyejielewa ndiyo hivyo anza kurekebisha mapema kabisa.Mfanyakazi mwezangu alioa Ke Dakatari kwa matarajio ya kampani kiuchumi.
Mwaka wa 8 sasa Me anaishi kwa maumivu makali rohoni sababu pesa ya Ke haijulikani inakokwenda, na hajawahi kununuliwa hata maji ya kunywa na Ke wake![]()
Ulijuaje Chifu?Kuna boya anakula mema ya nchi![]()

Yani anasikitisha sana hadi huruma kwakweli....Kila siku mnaambiwa pesa ya mke usiipigie mahesabu.
Waliposema ishini nao kwa akili...huyo jamaa ndo mfano wa mume aliyekosa akili.

Ndiyo ukweli watoto wenu mkiwalea vibaya wakwe zenu wanakiona cha moto.Hakika kwa 100%, huwa namwambiaga Ke wangu, malezi tunayowalea/tutayowalea watoto wetu ndiyo matunda ya kupatikana kwa Ke Mwema au Me bora kwa ndoa za kizazi cha baadaye.
Adam alianza kushindiwa kwa Lilith... AKAKIMBIWA
Akaletewa Eva.. Akadanganywa..! Huyu babu yetu huyu![]()





kwahiyo alikuwa boya tu ha ha ha basi yeye ndiye apewe lawama.Anasikitika nini sasa nayeye,Yani anasikitisha sana hadi huruma kwakweli....![]()


kama namuona vile, halafu hawezi sasa hata kumwambia uwiii aangalie asije pata ugonjwa wa moyo bure na mafao akamwachia mkewe 


ule wa kipuuzi sana sijaufatilia nilisoma niliona umejaa ufilauni tu. but basically very hard to live with women who join marriage for their own and selfish objectivesHuo huo
Mmoja katika 100 na kizuri zaidi nilipitia mule mule kwa walimu, TRA, Airtel, Mjasiriamali, Precision Air, Wizara ya Ardhi.Pole sana, ila sio wote wapo wenye malezi na makuzi mazuri.


Hapa naona kama vile unafunga funga maneno kiongozi, usahihi ni kuwa elimu zao zimewafanya kuwa wajinga. Yaani hawana akili kabisa. Yaani kama kiumbe (Mwanamke) hakijui Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke hiyo Mwanamke ni mjinga sana.Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"
Kaini au!Kati ya wale watoto mmoja hakuwa wake! Alichapiwa ila ikawa siri ya Eden![]()



Nilizingatia sana hapaule wa kipuuzi sana sijaufatilia nilisoma niliona umejaa ufilauni tu. but basically very hard to live with women who join marriage for their own and selfish objectives



Mwanamke na matumizi yake yote hakosi bajeti ya kuhonga kidogo.. Mwanzoni huwa kwa nia njema. Lakini hali isipodhibitiwa yajayo yanaumiza


Duu makubwa haya mbona hatari, kwahiyo ukapita pembeni kabisaMmoja katika 100 na kizuri zaidi nilipitia mule mule kwa walimu, TRA, Airtel, Mjasiriamali, Precision Air, Wizara ya Ardhi.
Siku na-graduate Ke mmoja aliniambia akiwa sirias "Sasa ajipendekeze Me kunioa aone nitavyoishi naye kibabe, siko tayari kutumikishwa na Me nikiwa na kazi yangu"![]()

Japo sijakutana nao, si unajua wengine siku nyingine tuanpoteaga humu.Nilizingatia sana hapa
Hiki ni kisa cha kweli kabisa kilichonitokea kwenye maisha yangu miaka karibu ishirini iliyopita, natangulia kuomba radhi kwa yeyote yule atakaechukizwa na chochote kilichoandikwa humu.
Sijauleta huu uzi kwa malengo ya kumuudhi mtu yeyote na wala sijakipandisha hiki kisa humu juwaani kupromote mapenzi ya jinsia moja kama wengi watakavyofikiria
Nimeuleta huu uzi ili kuwaelimisha wazazi na walezi juu ya hatari iliyopo endapo watashindwa kuwalea watoto wao kwa upendo na kupelekea watoto kufikia maamuzi ya kutoroka nyumbani na kuangukia mikononi mwa watu wasio wazuri kama ilivyonitokea mimi
Nakumbuka siku moja wakati nikiwa na umri wa miaka kama tisa au kumi hivi niliamua kutoroka nyumbani kwetu, nyumbani nilipokuwa nikiishi mimi, baba yangu mzazi pamoja na mama yangu wa kambo. Nilifikia maamuzi magumu ya kupatoroka nyumbani kutokana na kuzidiwa kama sio kuelemewa na kikombe cha mateso na manyanyaso kutoka kwa mama yangu wa kambo.
Mama yangu huyu wa kambo alijua kutesa aisee. Alinitesa kwa kuninyima chakula, kunitukana matusi makali makali na wakati mwingine kunipigapiga tena bila sababu zozote zile za msingi.
Pia huyu mama yangu wa kambo alikuwa na tabia ya kunifanyisha kazi nzito nzito sana zilizo juu ya umri wangu na nakumbuka kuna wakati huyu mama alifikia hatua ya kuninyima hata sabuni ya kuogea na kunilazimu kuoga bila sabuni![]()