Pole sana, Kuna tatizo upande wako wote sita Kuna mmoja angekuwa vizuri iwapo Kuna vitu au sifa ungekuwa nazo, cha Kwanza thamani yako kama kichwa ilikuwaje? Yaaani ulifanya maandalizi gani ya kujithamisha Kwanza Ili huyo mke akifika anakuwa humble? Tatizo nikutafuta mtu wa kukuthaminisha wewe badala ya wewe kujithamisha Kwanza na hapo ndo tunasema Ili mwende sawa tafuta wa level yako, imagine wewe kama mume umejenga mazingira yako yenye thamani yasiyohitaji hata kijiko cha huyo mke Kwanza akileta anaulizwa umeleta cha nini kama havitoshi ungesema niongeze vingine Mimi nahitaji mke mwenye tabia nzuri na kujiheshimu na mambo ya familia ntasimama mwenyewe Sasa hapo hao wasomi wote hukupata aliye humble kwako? Au ulikuwa unachagua wa kukusaidia kuongeza thamani yako?Yani nilikutana na Ke wasomi 6, kwa nnje ni wife materials tupu lakini jiwekee ndani sasa ujionee vituko [emoji28]
Si kupigwa vile kwa vitu vizito hadi nilibakia skeleton tupu kwa stress [emoji30]
Wasomi wasomi eeeeh... [emoji119][emoji16]