Ngoja niropoke

Ngoja niropoke

Tukutaneni kesho wengine tuko night shift, na wengine mnaenda kuzihudumia ndoa hizi hizi mnazoziponda hapa. kweli moyo wa mtu ni kiza kinene! Pengine hata hilo bundle na hiyo simu kakununulia yeye

Run..
 
Hapa naona kama vile unafunga funga maneno kiongozi, usahihi ni kuwa elimu zao zimewafanya kuwa wajinga. Yaani hawana akili kabisa. Yaani kama kiumbe (Mwanamke) hakijui Kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke hiyo Mwanamke ni mjinga sana.

Wanawake wa Leo wamefundishwa ya kuwa adui yake namba Moja ni mwanaume.

Shida Yao kwa ujinga wao harakati walizo letewa Zina historia yake, na wao hawakutaka kuijua historia yenyewe. Acha watumike kama bidhaa yenye thamani ndogo.
Yaani sio kwamba wanawake ni wajinga sababu ya usomi hapana, ila elimu imewafumbua macho, ile ya ndiyo Mme wangu ,au ndiyo Baba hakuna, lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni wachache sana wanaojua kusimamia nyumba yaani mke na watoto anachofanya akiona vipi anakimbia nyumba ha ha ha wanaume ngangari mpo wachache sana. usiku mwema.
 
Nadhani wanawake hawajaumbwa kuongoza au kuwa na pesa tokea mwanzo
emoji3.png
ukitaka kujua hilo sio ndoa tu hana maofisini akiwa mdada huduma ni shughuli kweli anaweza hata akakuangalia kwa jicho baya as if mmegombana. Hata ukiwauliza wanawake watakwambia bora mtoa huduma awe wa kiume akiwa wa kike ni kisanga.
Watu huwa wanakataa ukweli lakini kwa mtu makini hapingani na ukweli kwamba "Mwanamke kwake ni Nyumbani tu". Hapa wenye akili timamu tu ndiyo wanaelewa.
 
Nilizingatia sana hapa

Hiki ni kisa cha kweli kabisa kilichonitokea kwenye maisha yangu miaka karibu ishirini iliyopita, natangulia kuomba radhi kwa yeyote yule atakaechukizwa na chochote kilichoandikwa humu.

Sijauleta huu uzi kwa malengo ya kumuudhi mtu yeyote na wala sijakipandisha hiki kisa humu juwaani kupromote mapenzi ya jinsia moja kama wengi watakavyofikiria

Nimeuleta huu uzi ili kuwaelimisha wazazi na walezi juu ya hatari iliyopo endapo watashindwa kuwalea watoto wao kwa upendo na kupelekea watoto kufikia maamuzi ya kutoroka nyumbani na kuangukia mikononi mwa watu wasio wazuri kama ilivyonitokea mimi


Nakumbuka siku moja wakati nikiwa na umri wa miaka kama tisa au kumi hivi niliamua kutoroka nyumbani kwetu, nyumbani nilipokuwa nikiishi mimi, baba yangu mzazi pamoja na mama yangu wa kambo. Nilifikia maamuzi magumu ya kupatoroka nyumbani kutokana na kuzidiwa kama sio kuelemewa na kikombe cha mateso na manyanyaso kutoka kwa mama yangu wa kambo.

Mama yangu huyu wa kambo alijua kutesa aisee. Alinitesa kwa kuninyima chakula, kunitukana matusi makali makali na wakati mwingine kunipigapiga tena bila sababu zozote zile za msingi.

Pia huyu mama yangu wa kambo alikuwa na tabia ya kunifanyisha kazi nzito nzito sana zilizo juu ya umri wangu na nakumbuka kuna wakati huyu mama alifikia hatua ya kuninyima hata sabuni ya kuogea na kunilazimu kuoga bila sabuni
sure nilisoma hio kitu naelewa hio hata sikuumaliza ule uzi
 
Yaani sio kwamba wanawake ni wajinga sababu ya usomi hapana, ila elimu imewafumbua macho, ile ya ndiyo Mme wangu ,au ndiyo Baba hakuna, lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni
Ukweli nilio waambia hata mkusanyike Dunia nzima wanawake wote hamuwezi kuupinga,ukweli huu kwa maarifa na uadilifu.

Sababu kwanza hili jambo mmeletewa na wale walio waletea walikuwa na lengo maalumu. Kuondoa au kuivunja Ile taasisi imara ya ndoa. Hapa kwanza mlipigwa na utaona ni kwa jinsi gani mna upungufu wa akili Wanawake wote haya ni maumbile yenu.

Sasa Kuna ubaya gani ukimtii mumeo na kumsikiliza ?

Kingine wanawake nyinyi siyo wakweli mambo mnayokutana nayo katika harakati zenu yana onyesha wazi ya kuwa huko mlipo si mahala penu.
lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni wachache sana wanaojua kusimamia nyumba yaani mke na watoto anachofanya akiona vipi anakimbia nyumba ha ha ha wanaume ngangari mpo wachache sana. usiku mwema.
Suala la mwanaume kukosea katika majukumu yake ni suala la uzembe na la kukemewa kwa mtoto wa kiume. Ila hili halikufanyi wewe mwanamke ukosee zaidi katika kumtii au kuwa chini yake.
 
Huwezi mbadilsha mwanamke msomi mwenye misimamo yake akubaliane na mambo ya kiboya(according to wao).
Solution ni muache kuwaoa...
mnalalamika as if mmelazimishwa kuwaoa...there are so many good girls wasiosoma sijui kwanini hamtaki kuwaoa.
Hao wasomi hawatabadilika na miaka inavyoenda itakuwa worse zaidi.
Acheni kiherehere bwana😀. Mnalalamika sana Mshana tatizo nini?
Hello,

Mshana hajalalama bali ametuasa kwa muone wake.... BINAFSI I WAS RAISED WITH BOTH MY DAD AND MUM: na wanangu wana deserve HILO...
 
Tuongee ukweli tu.
Mwanamke akipata mchumba msomi ukoo mzima utajua, masifa kibao...mwisho wa siku ndo hivi mnashindwa kuishi nao.
.
.
Na wewe ukipata mtoto wa kike mpeleke shule mwisho form four, mnawasomesha hadi chuo degree mbili utegemee aje aishi na mume kwa kunyenyekea kama mtumwa? Hata wewe baba yake hutakubali awe boya.

Ndoa za kiafrika ni utumwa kwa mwanamke kwasababu ya mfumo dume.
Kwenye ndoa kuna uboya mwingi na mnategemea mke ndo auvumilie. Sio kwa zama hizi kaka yangu..
Ingawa kwa bahati nzuri wapo wasichana wanyenyekevu lakini hamuwataki.

Pambaneni tu na hali zenu kwa kweli. Mambo ni bam bam!
Pamoja na yote hayo, mwanamke akikupenda atakuheshimu, atakusikiliza na kukunyenyekea vizuri kabisa
 
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani

Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

Haka kakiburi kanawaambia hivi "wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha, vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia "Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

Kwahiyo wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

Kitu kingine kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyaperform kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini)

Ni kale ka akili ka kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

Kitendo cha kufanikiwa kuongoza kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake mambo yako kinyume kabisa!

Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke, mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee..

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini..

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika, walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza kumfanya Quuen atake kuwa king, haiwezekani!

[Nimemaliza kuropoka

Credit: WhatsApp forwarded msg
Author: Unknown
Chaokadhe wetu Mshana chatekondike walodha mno
 
Ukweli nilio waambia hata mkusanyike Dunia nzima wanawake wote hamuwezi kuupinga,ukweli huu kwa maarifa na uadilifu.

Sababu kwanza hili jambo mmeletewa na wale walio waletea walikuwa na lengo maalumu. Kuondoa au kuivunja Ile taasisi imara ya ndoa. Hapa kwanza mlipigwa na utaona ni kwa jinsi gani mna upungufu wa akili Wanawake wote haya ni maumbile yenu.

Sasa Kuna ubaya gani ukimtii mumeo na kumsikiliza ?

Kingine wanawake nyinyi siyo wakweli mambo mnayokutana nayo katika harakati zenu yana onyesha wazi ya kuwa huko mlipo si mahala penu.

Suala la mwanaume kukosea katika majukumu yake ni suala la uzembe na la kukemewa kwa mtoto wa kiume. Ila hili halikufanyi wewe mwanamke ukosee zaidi katika kumtii au kuwa chini yake.
Sikatai lakini sio kwa kila kitu kutii, heshima wengi mnapata lakini hamjui kuipokea, na wengine mnaoa mabinti wazuri lakini mnawaharibu wenyewe, nawao wakizibuka tu mnashindwa kuwa control, poleni sana.
 
Back
Top Bottom