Ngoja niropoke

Ngoja niropoke

Huwezi mbadilsha mwanamke msomi mwenye misimamo yake akubaliane na mambo ya kiboya(according to wao).
Solution ni muache kuwaoa...
mnalalamika as if mmelazimishwa kuwaoa...there are so many good girls wasiosoma sijui kwanini hamtaki kuwaoa.
Hao wasomi hawatabadilika na miaka inavyoenda itakuwa worse zaidi.
Acheni kiherehere bwana. Mnalalamika sana Mshana tatizo nini?
Hatulalamiki bali tunatoa msimamo wa kimaandiko kwamba "mwanaume ni kichwa" lazima tuwaongeze nyie viumbe dhaifu.

Kumbuka Eva alidanganywa kiboya sana na nyoka, you know why?

Bila mwanamume mwanamke hana akili kabisa na ndio maana mnagegedwa hovyo hovyo na viserengeti boy (sio kuolewa) baada ya talaka, zingatieni huu ujumbe wa black bro.
 
Huu ujumbe hautabadilisha kitu ni malalamiko tu yameletwa, sidhani kama wasomi wenyewe wapo tqyari kubadilika, najua unakubaliana na mimi kuwa hawatabadilika.
Na hapa wanazumgumziwa wale walioolewa tayari na sio wanaogegedwa na viserengeti boy ambao hawajaolewa bado
 
Mfanyakazi mwezangu alioa Ke Dakatari kwa matarajio ya kampani kiuchumi.

Mwaka wa 8 sasa Me anaishi kwa maumivu makali rohoni sababu pesa ya Ke haijulikani inakokwenda, na hajawahi kununuliwa hata maji ya kunywa na Ke wake
Kila siku mnaambiwa pesa ya mke usiipigie mahesabu.
Waliposema ishini nao kwa akili...huyo jamaa ndo mfano wa mume aliyekosa akili.
 
Hatulalamiki bali tunatoa msimamo wa kimaandiko kwamba "mwanaume ni kichwa" lazima tuwaongeze nyie viumbe dhaifu.

Kumbuka Eva alidanganywa kiboya sana na nyoka, you know why?

Bila mwanamume mwanamke hana akili kabisa na ndio maana mnagegedwa hovyo hovyo na viserengeti boy (sio kuolewa) baada ya talaka, zingatieni huu ujumbe wa black bro.
Huyo Adam yeye ndiye alipewa maagizo na akatamka mwenyewe huyu ndiye msaidizi wangu, kitu kilimfanya ashindwe kwenda naye Eva bustanini kama sio uvivu wakushindwa majukumu yake? Aanze kulaumiwa Adam kwa kushindwa kuwa kichwa bora.
 
Adam alianza kushindiwa kwa Lilith... AKAKIMBIWA
Akaletewa Eva.. Akadanganywa..! Huyu babu yetu huyu
 
Back
Top Bottom