Ngoja niropoke

Ngoja niropoke

Mwanamke wa shoka ni mama yetu Getrude Mongela sifa zimfikie mungu ambariki.Anajua kutofautisha cheo na mambo ya nyumbani
Ndiye aliyewambia muanze kujifunza kutongoza mabinti sio kutumia pesa tu, anza kutongoza kwanza pesa baadaye ndiyo maana mkiwaoa wanawake wanawaendesha wanajua ni madomo zege.
 
Mfanyakazi mwezangu alioa Ke Dakatari kwa matarajio ya kampani kiuchumi.

Mwaka wa 8 sasa Me anaishi kwa maumivu makali rohoni sababu pesa ya Ke haijulikani inakokwenda, na hajawahi kununuliwa hata maji ya kunywa na Ke wake
Hapa mie ndio napoonaga hamna maana ya kuoa. Bora nijue tuu life napambana nalo mwenyewe basi. Sio eti ankaa na mtu ndani ya nyumba yeye ni kupokea tuu hatoi.
 
Acha niwe mshamba, wakati bado nasaka maisha niliapa kutooa msomi Wala mwanamke mwenye kazi.kwasababu sioi mfanyakazi Bali naoa mtu wa kujenga naye familia

Nilifanikisha lengo langu, sijisifu Hadi leo sijawahi kutamkiwa neno lenye kuniumiza pamoja na kwamba ndoa haikosi changamoto.

Lakini nayoyaona kwenye ndoa za wenzangu, namshukuru sana MUNGU
Kiuhalisia uko right kabisa
 
Huyo Adam yeye ndiye alipewa maagizo na akatamka mwenyewe huyu ndiye msaidizi wangu, kitu kilimfanya ashindwe kwenda naye Eva bustanini kama sio uvivu wakushindwa majukumu yake? Aanze kulaumiwa Adam kwa kushindwa kuwa kichwa bora.
Kubali sasa kuwa wanawake ni wadhaifu mno na wanahitaji ulinzi wa wanaume
 
Mwanaume kulalamika kisa mwanamke inaleta ukakasi sana. Anakushindaje mwanamke uliyeamua wewe mwenyewe kuwa huyu ananifaa kuwa mke wangu!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujumbe hautabadilisha kitu ni malalamiko tu yameletwa, sidhani kama wasomi wenyewe wapo tqyari kubadilika, najua unakubaliana na mimi kuwa hawatabadilika.
Na hapa wanazumgumziwa wale walioolewa tayari na sio wanaogegedwa na viserengeti boy ambao hawajaolewa bado
Sikubaliani na wewe kwa sababu "mwanamke yeyote asiye mtii mumewe" ni nyoka, ni shetani haswaa.

Kumbuka shetani alikataa kubadilika baada ya kufanya kosa huko mbinguni akaasi mazima, hivyo hivyo mwanamke asiye mtii mumewe ni muasi ni shetani, moto wa jehanamu unamhusu.
 
Sikubaliani na wewe kwa sababu "mwanamke yeyote asiye mtii mumewe" ni nyoka, ni shetani haswaa.

Kumbuka shetani alikataa kubadilika baada ya kufanya kosa huko mbinguni akaasi mazima, hivyo hivyo mwanamke asiye mtii mumewe ni muasi ni shetani, moto wa jehanamu unamhusu.
Hata kama hukubaliani. Mashetani wataendelea kuwepo and they don't care anymore.
 
 
Back
Top Bottom