Ngeleja na Malima achen upuuzi

Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
192
Nyie juzi tu hapa mmetutangazia mgao umeisha mpaka january leo moshi mjin hapa siku ya pili hamna umeme na hakuna taharifa zozote za maana. Mnataka sisi tuwaeleweje au tuwatukanie wazazi ndo mjue mnatukwaza kiasi gani? Achen mambo ya ajabu bana!!!!??
 
tushaonekana wajinga sana...hawajamaa siku hizi wanaongea wanavyojua wao, yani akiamka asubuhi anafikiria nini akaongee na wananchi usanii mtupu hata hawafikirii inatuathiri kiasi gani.."one day yes"
 
Hapa Dar ,Mikocheni,Tegeta hakuna umeme kutoka juzi,Ngeleja alisema mgao kwishne mwezi October kumbe zilikuwa ni porojo tu,hao ndio viongozi wa Magamba,Magamba ziiiii
 
Morogoro Jana haukuwepo sijui Leo coz nipo safarini kuelekea Dar. Hawa wazushi tu
 
Tusubiri Makaa ya Mawe !! na Umeme wa Jua !! Mega watt 20, 30, 150, 205 n.k. Kiduchu kiduchu !!!!!
 
Hawa jamaa wanahaha, maana wanajua bunge linaanza siku si nyingi so wanaogopa kulazimishwa kujiuzulu
 
nashindwa kuwalaumu vilaza hawa moja kwa moja, namlaumu aliewateua kuwa mawaziri, ni kielelezo cha utawala legelege kwa utatuzi wa matatizo mazito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom