countryboy me
Member
- Oct 30, 2018
- 95
- 81
- Thread starter
- #21
Aisee!! Pole sana mkuu. Nilikuwa sifahamu.
Kwa kikwetu (dodoma) ng'e tunawa group katika makundi mawili; kundi la kwanza ni 'nje', hawa ni wale wadogo wenye rangi kama kama nyeupe ya manjano flani hivi. Hawa wana sumu kali sana, akikung'ata huyo utaimba mapambio yote. Na kundi la pili ni huyo ulimuweka mleta mada, tunamwita 'njeajea'. Mara nyingi hawa huwa ni makubwa jinga, hayang'ati. Na akikin'gata uchungu wake ni wa kawaida sanaaa.
NB: nimeshawahi kung'atwa na wote wawili hivyo nina uzoefu usiopaswa kutiliwa shaka.[emoji3][emoji3][emoji3]