Ng'e wa aina gani huyu!!

Ng'e wa aina gani huyu!!

countryboy me

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
95
Reaction score
81
Nimemkuta mwanangu akiwa anacheza naye.
IMG_20181214_155809.jpeg
IMG_20181214_155746.jpeg
 
Duh! Nimejikuta mwili unasisimka. Mshukuru Mungu hajamng'ata maana nasikia wanang'ata vibaya na maumivu yao huwa ni makali pia.
 
Hiyo machine ushukuru Mungu hajamng'ata popote,nje ya hapo hata muda wa kumpiga picture usingeupata ndugu yangu.
Wana sumu kali na pia wanaendana sana na damu kama wakikukuta una damu ya Kunguni basi akikung'ata waweza maliza waganga wore maana hospital hawataelewa na huko kwa mganga nako hautaelewa.
N.B:KUWA MAKINI NA MAENEO WANAYOCHEZA WATOTO YAWEZEKANA KAMA NYUMBA BADO NI MPYA INA UPYA UPYA AU KUNA MAGOGO/MAGUNIA YA MKAA MKAA HIVI.!!
 
Kwa kikwetu (dodoma) ng'e tunawa group katika makundi mawili; kundi la kwanza ni 'nje', hawa ni wale wadogo wenye rangi kama kama nyeupe ya manjano flani hivi. Hawa wana sumu kali sana, akikung'ata huyo utaimba mapambio yote. Na kundi la pili ni huyo ulimuweka mleta mada, tunamwita 'njeajea'. Mara nyingi hawa huwa ni makubwa jinga, hayang'ati. Na akikin'gata uchungu wake ni wa kawaida sanaaa.

NB: nimeshawahi kung'atwa na wote wawili hivyo nina uzoefu usiopaswa kutiliwa shaka.😀😀😀
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi

Back
Top Bottom