Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Hana issue huyo sunzu kabahatisha game bado!
kama unaongelea ushabiki sawa lakini kama ni mpira sunzu nimemtazama mechi mbili na mazoezini karibu wiki mbili jamaa anaujua mpira hata huyo kago ni noma ngaja aingie anapiga mashuti sana..
 
hizi mechi za uchawi uchawi zinatuzingua! nchi yetu kmeo! watu wa mikoani mnatunyanyapaa namna hii!
 
Mnyama 1 vs Magamba aka watoto wa Baba Riz1 0, ngoma inaendelea tega sikio kwa matokeo zaidi
 
TBC wanasema kafunga haruna moshi wengine mnasema kafunga sunzu, which is which
 
Back
Top Bottom