Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

nilisema cannavaro sio beki, makosa yake! amerudi mzee mzima victor costa nyumba! Namba yake stars!
 
kama simba watatengeneza mipira ya mwisho mizuri kama kawaida yao basi goli ziko nyingi sunzu ni mzuri sana..ametulia akipata mpira hapotezi, pasi zake za uhakika na leo kafanya kitu ambacho kitamfanya ajiamini sana.
 
Back
Top Bottom