Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Yanga leo mnalo..mlikuwa mna mbeza sunzu mpaka sasa kasha wakojolelea viwili na bado kago..
 
Huyu Sunzu katokea wapi?
Ndio namsikia kwa mara ya kwanza
 
Yanga wako arsenal, sio wakoje?!

Goli 2 tutarudisha kivipi?!
 
HAooo Wanga i mean yangaaaaaaaa hao lol leo kipigo tu na mafuta hampati lol.
 
Wangaaaaaaa wote hawana nguvu siku ya ramdhani Ooops Yanga, Simba anangurumaaaaaaaaaa Wekeni zile picha basi za Simba anapakatwa hahahahahaahah na bado hapo Ngata haooooo.
 
Yanga leo tunawachapa vitatu tu kimyAaaaa Cdm iko juu
 
Tayari dakika ya 44 kipindi cha kwanza watoto wa msimbazi 2 yanga yeboyebo 0.
 
Back
Top Bottom