Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

imenunuliwa na bigbon,sijui kama wataruhusu irushwe labda kwa sharti la kuto advert mpaka mpira uanze.otherwise yahya yupo humu atujuze kama star tv watarusha.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
bado dk 5 mkuu,mliopo ground mwagen updates jamvini,me nafuatilia kwa cm make umeme umezimwa na hii ndo njia pekee ya mawasiliano
mkuu mimi nafatilia kupitia radio 1..
 
imenunuliwa na bigbon,sijui kama wataruhusu irushwe labda kwa sharti la kuto advert mpaka mpira uanze.otherwise yahya yupo humu atujuze kama star tv watarusha.
Sasa BigBon kanunua aonyeshe au? Sielewi!
 
Kinaendelea nini mnaofuatilia, nani kaelemewa na ni dakika ya ngapi?
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
mashambuliz vipi hapo,na upepo ukoje,huku Tarime radio1 haikamati hata chembe
mpaka sasa hakuna alielemewa ingawa simba kakosa nafasi mbili kupitia okwi
 
Hamna channel inayoonyesha hii game. Bora ufuatilie kwa radio na hapa jamvini..!?
 
Oscar Joshua kamchezea rafu Felix Sunzu na anaonyeshwa kadi ya njano.
 
Makubwa, hata supersport hawarushi, Pouwa ndo nchi yetu. endeleeni kutujuza
 
Back
Top Bottom