Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Sunzu anafunga goli la penalti. Sïmba 2 yanga 0
 
Sunzu tena anaweka sawa hapa sunzuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
mashabiki wa simba wanashangilia ccm ccm..simba2 yanga 0
 
bao tenaaaaaaaaaaaaaaaaa

simba walikuwa wanawakejeli yanga kwa kushangilia ccm, ccm, ccm kabla ya sunzu kurudia kupiga penati
 
Penati inafungwa refa anakataa, kitu kinafungwa tena. Felix Sunzu dk 41.
 
haya niseme nini jamani! Wewe jane lete biaaaaaa!crashwise where are you brother!
 
Back
Top Bottom