Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,004
- 142,419
Ahsante..bado naipenda brazil zaid na zaid na ntazidi kuipenda yaani ukipenda kitu hata upate misukosuko na changamoto unakubaliana nazo ilimradi moyo umependa.....
Mie mgumu sana kukata tamaa yawezekana mie mbishi lol
amuna iyo ww wacha kujifariji Brazil ni aibuuuuuuuuuuu yani aibuuuuuuu ha ha ha haaaa Chezea german machine ww
BAK we si pia unaipenda uholanzi? Najua sitakua peke yangu lol
Ahsante..bado naipenda brazil zaid na zaid na ntazidi kuipenda yaani ukipenda kitu hata upate misukosuko na changamoto unakubaliana nazo ilimradi moyo umependa.....
Mie mgumu sana kukata tamaa yawezekana mie mbishi lol
I am very sorry to let you know that, tomorrow I'll be cheering for #TeamArgentina, it is not too late to change your mind in order to join me, NN and many others in our camp. Karibu sana kambini kwetu.
Ili mradi moyo umependa eeh!!!! changamoto na changabaridi zote unaweka pembeni au kukabiliana nazo, karibu sana #TeamArgentina kukupata shabiki kama wewe kambini kwetu itakuwa poa sana.
Hahahahahaha lol!!!! Karibu sana #TeamArgentina usiwe na wasiwasi kuhusu kesho lazima tuwaondoe Waholanzi warudi kwao wakapande maua kwenye bustani zao. 🙂🙂
Shabiki ana kelele hadi majirani wanakoma..
Hahahahaha lol!!! Aisee nimecheka sana huyo shabiki kaifunika TV yake na kubaki akichungulia tu kuona kama yameongezeka au yamepungua. Mie nakwambia haya matokeo ya leo lazima kutakuwa na watu waliojiua au kupata heart attack.
Kwi kwi kwi kwi hutaki pressure eeh? Argentina nao wazuri hivyo hata wao kama wataingia kwenye WC final na Brazil wanaweza kushinda pia.
Mkuu.....heshima mbele.....sijawahi kuwa impressed na jinsi Neymar anavyosiwa.....siajona bado umahiri wake...umahiri wa Neyamr uko kwenye midomo ya watu.......na sema tu ana damu ya kupendwa kama Beckham......lakini kwa uwezo kimpira na technic hawezi kumkuta CR7 au Messi........
Argentina walini-let down siku walipocheza na Bosnia.....walipekeshwa puta utafikiri walikuwa wanacheza na Brazil....na staili yao ya uchezaji kwenye hii World Cup is not giving any hope.....bahati imechangia sana Argentina kushinda mashindano haya......Uholanzi akikomaa na yule de-Jong atakuwepo uwanjani hiyo kesho....kwa hiyo mpira utakuwa mzuri......
Ujerumani leo waliweka viungo wao mahiri na wenye kujituma sana na hasa Bastian....huyu mimi huwa namuita.."Jemedari wa Uwanjani".....
Hahahahaha lol!!! Aisee nimecheka sana huyo shabiki kaifunika TV yake na kubaki akichungulia tu kuona kama yameongezeka au yamepungua. Mie nakwambia haya matokeo ya leo lazima kutakuwa na watu waliojiua au kupata heart attack.
Mazee...hii gemu ya leo Brasil wameji-let down wenyewe.
Hakukuwa na effort yoyote ile ya maana.
Kuanzia goli la kwanza hadi la tatu, yote yalikuwa matokeo uzembe wa hali ya juu.
Kwa jinsi Brasil walivyocheza leo hata wangekuwa wanacheza Taifa Stars wangekung'utwa tu.
Hata mie nimewaza hivo hivo....tutaskia tu news ila mungu awaepushe mbali na iblisi huyo
Hivi ni mara ngapi kwenye soka timu huwa inafungwa magoli saba?
Ni mara ngapi hutokea ndani ya dakika kumi na nane timu kufungwa magoli matano?
Haya matokeo ya leo ni aberration tu.
Hata hiyo kesho naweza kabisa kutabiri kuwa hakutakuwa na score ya ajabu kama hii ya leo.
Na hata kwenye fainali hiyo Jumapili hakutakuwa na score ya magoli saba kwa timu moja.
....arifu.....ulisikia zile kelele uwanjani kabla ya gemu.....maana hata Wajerumani hawakuwa comfortable kabisa.....maana m-Brazil akigusa mpira tu ni kushangiliwa utafikiri kafunga goli......
Kuonekana kwao kucheza hovyo...maana yake ni kuwa walizidiwa sana sana.....na hasa kuanzia katikati na kwenye defense yao.....walisahau kuwa washambuliaji wa Ujerumani na viungo wao ni hatari sana...i.e. wana nguvu/uwezo mkubwa wa kukuadhibu ufanyapo kosa dogo......
...arifu kumbe na wewe unafuatilia hizi gemu!!!......nilifikiri wewe ni NFL, Kick Boxing na NBA....karibu sana arifu...
Nashukuru Mungu hapa jamvini hatuna ushabiki wa kiasi hicho, tunataniana hapa tunacheka maisha yanaenda pamoja na kuwa tumekereka in one way or another. Ukimuona Katavi mwambie kesho avae jezi ya #TeamNetherlands.