Kavulugwa huyo, hajui thamani ya mwanamke, cjui ni hiyo mibangi wanayokunywa!!!???
Huo ni udhalilishaji kama kweli katamka hayoaneno jadharani
ana demu wake maeneo ya gedeli mwanza anafanya kazi ktk shirika la ndege fulani bahati mbaya huyo dada ni mwathirika
Ana demu wake maeneo ya gedeli mwanza anafanya kazi ktk shirika la ndege fulani bahati mbaya huyo dada ni mwathirika
kuna tungo tata hapa inanichanganya. mama watoto hao inamaanisha wamama watatu kila mmoja na mtoto mmoja au mama mmoja kazaa watoto watatu? Kuna mchangiaji kauliza "ulitaka aoe wote watatu?" Na mwingine akiwemo mleta mada anaonyesha kama ni mwanamke mmoja amezaa watoto watatu. Na kama ni wanawake watatu tofauti na wote hawawezi kulea basi shida iko kwa Neema, I mean Nay.
Ndo wengi wao walivyo wanakua wanajua wamepata kumbe wamepatikana
kwa maelezo ya Nay ni mwanamke mmoja amezaa naye watoto watatu.
Kwa style hii Tanzania ijikwamue kwenye vita ya umaskini na ujinga kweli? Lord have mercy.
Yani wewe ndio umetafsiri kutokana na maono yako, alafu unene yakua yeye ndio kanena.
Kuna jamaa mmoja jina(WINME) katoa komenti ambayo imenitishaaa.. mwanangu kama kweli hali mbaya.naogopa kinoma haya mambo nandomana nikipata demu maeneo mapya na tangaza kama chizi vile lengo kupata data zake japo waswahili wanasema ukimchunguza bata huwezi kumula .
Inaonesha kama umetumwa na Ney umsemee.
ahaa. Basi sitii neno maana sijui upande wa mama watoto. Ya watu mengi. Pengine jamaa kafanya jambo sahihi, pengine kakosea.