Ney wa Mitego atoa kauli ya kumfananisha mkewe aliyemzalia watoto watatu na bahasha

Hivi mama yake nae angeambiwa hvyo na baba yake ingejisikiaje?
hata kama mtu haumpendi muda mwingine tujali hisia za wenzetu.
 
Demu wa kawaida sema pesa ipoo

Mala anaukimwi mala sijui nini....we dokta ulompima?...mbona mie namuona mtamu aisee kwako wa kawaida huyu?!!!!
 

Attachments

  • 1426654561503.jpg
    1426654561503.jpg
    47.2 KB · Views: 493
  • 1426654593560.jpg
    1426654593560.jpg
    53 KB · Views: 457
  • 1426654625159.jpg
    1426654625159.jpg
    60.1 KB · Views: 446
  • 1426654648192.jpg
    1426654648192.jpg
    49.8 KB · Views: 441
  • 1426654673367.jpg
    1426654673367.jpg
    56.6 KB · Views: 414
  • 1426654690908.jpg
    1426654690908.jpg
    49 KB · Views: 418
Tangu Huyu Jamaa Alipoimba Kuwa Ni Rafiki Wa Lucifer,tena Huwezi Kwenda Mbinguni Bila Yeye,niligundua Ni 'Insane' Kabisa.

Yaani hayo ni maneno ya kuonesha jinsi gani elimu na uelewa ni muhimu sana kwa wasanii...ujinga ujinga tu.
 
Me nafikiri kabla hamjafikia hitimisho mngemuuliza kwanza hao wanawake ni wa aina gani?
 
Ukiokota okota tuu Mbona kila siku maneno hayatakuisha?
Wewe watoto 3 kila 1 Ana mama yake hiyo akili sasa.
 
Capt Nemo

Angekuwa na akili iliyotulia asingezaa na changudoa tena watoto watatu! Kama alivyoamua kumzalisha watoto wote hao, alipaswa kumrekebisha matendo yake ama asingezaa nae.

Kwanza changudoa huwezi jua kama ni changudoa mpaka ujue (naamini utaelewa kauli hiyo)

Pili kama unadhani unaweza kumrekebisha changudo au mwanamke yeyote in general you have another think coming!!!
 
Mwanamuziki wa bongo flavor ajulikanaye kama Ney wa Mitego ametangaza kuwa baada ya kujipatia watoto watatu, hana tena mapenzi na mama watoto hao bali ana mapenzi na watoto hao.

Kwa kauli hiyo, ni sawa na mama watoto hao kuchukuliwa kama bahasha maana bahasha ikishafikisha barua, inakuwa haina umuhimu tena bali kinachofanyiwa kazi ni barua iliyokuwa ndani.

Binafsi kama mwanaume sikufurahishwa na kauli kama hii kwamba hataki mazoea na mwanamke bali mapenzi ni kwa watoto, na je kama si huyo mwanamama hao watoto angeweza kuwazaa mwenyewe.

Huu pia ni ujumbe kwa wale wenye tabia kama za huyu jamaa na pia wale wanaotelekeza mama na watoto wanaenda kutafuta mwanamke mwingine.

Mtoto anahitaji malezi ya wazazi wote labda itokee bahati mbaya mmojawapo kafariki lakini unakuta mtoto anateseka, pimbi anadunda mtaani.

Je wewe unamwunga mkono Ney wa Mitego kwa kauli yake.

kwa sisi wadau wa muziki hatuumizag kichwa kwa kauli kama hiz bali hua tunakumbuka mbali sana kipindi alichoahid kutoa picha lake la x mda mfupi mbele akatoa nyimbo yake mpya.its like dimpoz tu kabla ya kutoa wanjera.
 
Jaman hii ni kick ya nyimbo mpyaa maana bongo fleva wa siku hizi kabla ya kutoa nyimbo mpya wanatafuta kick kwa mapicha na mavideo ya ngono
 
Back
Top Bottom