Ney wa Mitego atoa kauli ya kumfananisha mkewe aliyemzalia watoto watatu na bahasha

Kavulugwa huyo, hajui thamani ya mwanamke, cjui ni hiyo mibangi wanayokunywa!!!???
Huo ni udhalilishaji kama kweli katamka hayoaneno jadharani
 
Kama wewe sio mwandishi wa habari nakushauri uingie huko...you are an expert katika kuwawekea maneno watu midomoni
And it is alright kumlaumu Ney lakini unajua what went on behind the scene?

Hao wanawake utulivu zero na Ney aliona kuliko watoto wakae katika mazingira kama hayo ya kushuhudia ma-uncle wasio na idadi, kumuona mama kalewa daily, na akina mama hao kushindwa kuwalea watoto katika maadili mema akaona for the sake of kids bora awachukue,give the man credit for that

Remember not all mothers are good mothers deserving to live with kids.Kama huamini washauri wafungue suit ya kupata custody ya watoto uone ushahidi utakaotolewa na Ney kuonyesha akina mama hao hawafai kulea.

Mtoto anahitaji maleze...ya responsible parents...not just parents
 
Capt Nemo

Angekuwa na akili iliyotulia asingezaa na changudoa tena watoto watatu! Kama alivyoamua kumzalisha watoto wote hao, alipaswa kumrekebisha matendo yake ama asingezaa nae.
 
Last edited by a moderator:
Kavulugwa huyo, hajui thamani ya mwanamke, cjui ni hiyo mibangi wanayokunywa!!!???
Huo ni udhalilishaji kama kweli katamka hayoaneno jadharani

Ni katika kipindi fulani cha eatv kinaitwa halow five cha leo ndipo kaongea hayo.
Kwanini nimwongopee ili nipate nini? Kauli yake imenikera!
 
Kuna tungo tata hapa inanichanganya. mama watoto hao inamaanisha wamama watatu kila mmoja na mtoto mmoja au mama mmoja kazaa watoto watatu? Kuna mchangiaji kauliza "ulitaka aoe wote watatu?"

Na mwingine akiwemo mleta mada anaonyesha kama ni mwanamke mmoja amezaa watoto watatu. Na kama ni wanawake watatu tofauti na wote hawawezi kulea basi shida iko kwa Neema, I mean Nay.
 
ana demu wake maeneo ya gedeli mwanza anafanya kazi ktk shirika la ndege fulani bahati mbaya huyo dada ni mwathirika


Huyo demu analipa?Weka picha na namba yake utaogopa ukimwi wakati kuna majinja
tuma namba yake twendee kaziii
 
kuna tungo tata hapa inanichanganya. mama watoto hao inamaanisha wamama watatu kila mmoja na mtoto mmoja au mama mmoja kazaa watoto watatu? Kuna mchangiaji kauliza "ulitaka aoe wote watatu?" Na mwingine akiwemo mleta mada anaonyesha kama ni mwanamke mmoja amezaa watoto watatu. Na kama ni wanawake watatu tofauti na wote hawawezi kulea basi shida iko kwa Neema, I mean Nay.

Kwa maelezo ya Nay ni mwanamke mmoja amezaa naye watoto watatu.
 
Kwa style hii Tanzania ijikwamue kwenye vita ya umaskini na ujinga kweli? Lord have mercy.
Yani wewe ndio umetafsiri kutokana na maono yako, alafu unene yakua yeye ndio kanena.

Wewe ungetafsiri vipi hizo Swagga za Wacko Jacko?
 
Kuna jamaa mmoja jina(WINME) katoa komenti ambayo imenitishaaa.. mwanangu kama kweli hali mbaya.naogopa kinoma haya mambo nandomana nikipata demu maeneo mapya na tangaza kama chizi vile lengo kupata data zake japo waswahili wanasema ukimchunguza bata huwezi kumula .

Utamla tu coz unakuta una mboga nyinginee
 
Mwacheni nay the true boy afunguke aliyoya experience toka kwa mademu, na mimi naungana na nay mademu me nawagonga but mtoto ndo nakuwa na mapenzi nae.
 
Na ndio maaana watu tuna haswa usiku na mchana kuipata ndiz lakin ukishaipata tu!!! Unaimenya ganda unalitupa kuleeeeeee
 
Back
Top Bottom