Ney wa Mitego atoa kauli ya kumfananisha mkewe aliyemzalia watoto watatu na bahasha

Ana demu wake maeneo ya gedeli mwanza anafanya kazi ktk shirika la ndege fulani bahati mbaya huyo dada ni mwathirika
but jamaa hutumia kinga na hua hazai na demu bila kupima kweli kondom zinasaidia
 
Demu wa nay afunguka mtoto si wa nay
 
Attachments

  • 1426876041345.jpg
    1426876041345.jpg
    86 KB · Views: 308
Ney ni mmoja ya wasanii ambao nut za dish zimepotea..jamaa ni mdhalilishaji sana.
 
Staa yeyote anayetafuta kupata watoto wa damu bila kuoa ujue ana tatizo kiakili, kwa sababu anakuwa ni mbinafsi wa kutaka kuhesabu watoto bila kuangalia hadhi ya watoto hao watakozaliwa nje ye ndoa. Vile vile mwanamke anayezaa na staa huyo nje ya ndoa naye huwa ana upungufu fulani kiakili, kwa hiyo iwapo Nay kamfumania mzazi mwenzie basi ajue kuwa huyo ndiyo aina ya wanawake walio tayari kuzaa nje ya ndoa.
 
Up stairs uko vizur sana mkuu, thumb up
 
Jina lenyewe wa mitego sa sijui huwa anawatega akina nani hao kama hawataki wakinamama atawatega akinababa sasa watamnasa tuu
 
Back
Top Bottom