Ney wa Mitego atoa kauli ya kumfananisha mkewe aliyemzalia watoto watatu na bahasha

Kama wewe sio mwandishi wa habari nakushauri uingie huko...you are an expert katika kuwawekea maneno watu midomoni
And it is alright kumlaumu Ney lakini unajua what went on behind the scene?

Hao wanawake utulivu zero na Ney aliona kuliko watoto wakae katika mazingira kama hayo ya kushuhudia ma-uncle wasio na idadi, kumuona mama kalewa daily, na akina mama hao kushindwa kuwalea watoto katika maadili mema akaona for the sake of kids bora awachukue,give the man credit for that

Remember not all mothers are good mothers deserving to live with kids.Kama huamini washauri wafungue suit ya kupata custody ya watoto uone ushahidi utakaotolewa na Ney kuonyesha akina mama hao hawafai kulea.

Mtoto anahitaji maleze...ya responsible parents...not just parents

Is Ney a good father?
 
Back
Top Bottom