Mashamba yapi hayo coz yapo mengi yenye migogoro..........na Je ule mkutano wa Mkuu wa mkoa na wananchi wa kijiji cha kitefu kuhusu mgogoro wa shamba la dolli umefikia wapi?Sorry kwa maswali .
Serikali itumeme ujumbe chini ya Prof Maji marefu iwaombe Washiri aka wazee wa mila, labda watatulia.
Watawala wakumbuke migogoro ya ardhi Meru haikuanza leo, wameachia mbuyu ukue hadi ukomae, wamesahau mbuyu ulipokuwa kama mchicha wangeweza wangetuma hata mtoto kuung'oa sasa watalazimnika kuleta ma-buldozer na grader ili kuung'oa.
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
Safi sana...on my way to assist them nikiwa na dumu zangu kadhaa za petrol.
Wameru waachane polisi nyie tulieni majumbani mwenu mnakumbuka yale mauaji ya Mwaka jana hapo Arusha? Hivi mnafahamu kwamba wale Polisi walio lenga shabaha Arusha na Nyamongo walizawadiwa?Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!