Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe
tukiacha serekali ya ccm iendeleze mabavu yake tz itakua kama syria..Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe
Wameru waachane polisi nyie tulieni majumbani mwenu mnakumbuka yale mauaji ya Mwaka jana hapo Arusha? Hivi mnafahamu kwamba wale Polisi walio lenga shabaha Arusha na Nyamongo walizawadiwa?
Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe
Mkipewa hayo mashamba mtaweza kuyalima?
Wachaga wachache wanashinikiza ili wayamiliki wao hayo mashamba, ogopa sana wachaga wana mbinu chafu sana. Nawaonea hurua wameru kwa kutokuliona hilo.
Nipitie hapa ngulelo...nimesha jikoki...napaga jaramba
Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe