Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,999
Isije ikawa ni ile ya siku ya wajinga, maana haijatulia kabisa.
Si inasemekana ni mwan jf..sasa kuna noma gani kama akitupa wanachama cv yake?Yean Mkuu lazima uwe na hadhari - lakini naona baada ya changa la macho kule Butiama hii habari ni kweli.
Ninaloomba kama kuna mtu anajua wasifu wake huyu Bi Balozi mpya atuandikie hapa tuweze kumjua.
Hata mimi nashangaa sana kwani huyu mama amefanikisha uimarishaji wa CCM huko ma UK kwa kushiriki kikamilifu!Haiwezekani, ni siku ya wajinga. Mwanakijiji usije ukafanya watu wapate ugonjwa wa moyo kwi kwi kwi!!!!
Mama Majaar hawezi kuondolewa kwasasa.
Kweli haya ni mambo ya 1/4!
Content zenyewe zimekaa kushoto kushoto ... Radhia hawezi kuwaandikia wana habari kuwajulisha kuteuliwa kwake.
Maajar hawezi kutoka Ubalozini aende Ikulu, labda angesema anarudi Foreign Affairs ili kupangiwa kazi nyingine.
Swali la kizushi, Maajar kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi alikuwa Wakili wa kujitegemea, je, ubalozi wake ukitenguliwa inakuwaje? Anarudi kuwa Lawyer ama anapelekwa Foreign Affairs kukaa bench?
Kwa maadili ya fools day ni kwamba ukimaliza kudanganya mwishoni kabisa unatamka baya kuwa Tarehe mosi April huwa ni siku kubwa ya wajinga duniani. Usiposema hivyo watu wana haki ya kuaminika ulichokiandika na baadaye usilalamike ukiitwa mzushi au mwongo kama jambo lenyewe litathibitika kwamba ni uongo!
Isije ikawa ni ile ya siku ya wajinga, maana haijatulia kabisa.