New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Yaani wewe watu wa maana kwako ni salama msgji na sharobaro idrissa..wakiongea na wewe unafata.. tunaenda ki-pan-africanism..davido..ni jembe huo ndio ukweli..

huyo ndiyo mwenye akili na maana??kamwe kimbley siwezi fata akili za namna hii mimi,bora nimfate faiza sugu kama hali yenyewe itakuwa hiyo
 
Attachments

  • 1434467431071.jpg
    1434467431071.jpg
    15 KB · Views: 143
Diamond tunampenda lakini hawezi kumfikia Davido kwa mziki..ndio maana tunampigia davido kura maana ni bora kuliko diamond..na diamond hamfikii ata wizkid sembuse davido..

Hivi unawezaje kumpenda MTU halafu humsapoti huo unaitwa UNAFIKI.

Wewe ni mtanzania au mnigeria nini wajibu wako kama mtanzania?.

Obama sio rahisi bora zaidi ya Lincoln wala republicans hawavutiwi nae.Lakini inapokuja matters za State interest kwa Americans kama Sera za nje za marekani kokote wanapokuwa na maslahi napo kama taifa wapo nyuma yake.

Njoo jkt Tukupe somo la UZALENDO.
 
Demu zima kukata kiuno jf ni udhaifu mkubwa sana kuendekeza mambo ya wanawake. Loh point zile zile mda wote ka kidume kweli njoo na maneno mapya hayo yamezoeleka.
Dedication wanaume ka mabinti by Commando Jide.

Halafu mtu anajiita mwanaume huku kutwa yupo JF kidole kiko juu anachambana na wanawake!
Kaazi kwelikweli. ..
 
​Nimesikiliza lakin mnnnh.....Dai nahisi alifanya fasta fasta kujibu mapigo ya KTMA lakini akachemka
 
Hahahahaaa, ujue nacheka? Nacheka hapa kama sina akili nzuri.
Tatizo kupingana kwa hoja hawawezi wana kazi ya kulia lia tu.
Kisa, wanalazimisha tumpigie kura NDOMO.
NDOMO ni nani? Kura sipigi na hakuna anayeweza kunifanya chochote.
Tena ngoja nije na screen shots ili wazidi kukata viuno nyuma ya keyboard vizuri.

Nifah:diamond alikukosea nn?mana sio bure umchukie MTU kiasi hicho
 
Mmmh!
...collabo ya tatu wanaija wanamshirika toka mwaka uanze.....kuna msanii mwngine asiye mnaija kashirikishwa na wanaija hivi???

Wanaija wamegundua nin kwa dai asee....

Hongera platinumz, Africa ishakuelewa...
 
Hahahahaaa, ujue nacheka? Nacheka hapa kama sina akili nzuri.
Tatizo kupingana kwa hoja hawawezi wana kazi ya kulia lia tu.
Kisa, wanalazimisha tumpigie kura NDOMO.
NDOMO ni nani? Kura sipigi na hakuna anayeweza kunifanya chochote.
Tena ngoja nije na screen shots ili wazidi kukata viuno nyuma ya keyboard vizuri.

Kwa kweli hii week nimeshuhudia drama nyingi sana na mapovu ya hatari yani hadi wachawi wamewajua wachawi wenzao maana wanakutanaga kuwanga wote.
Majority ya wabongo hawajui kushindana kihoja zaidi ya kuja na hoja ya wivu na uchawi hawawezi kujadiliana.
Kwa kweli hii week full drama full mapovu.
Piga tu yani mi nimejaribu kupiga Mara moja na sijihangaishi tena naangalia mapovu tu na kucheka basi.
 
Halafu mtu anajiita mwanaume huku kutwa yupo JF kidole kiko juu anachambana na wanawake!
Kaazi kwelikweli. ..

Na wewe nakuroga usipewe unyumba mpaka kiba ashinde tuzo ya kimataifa teh teh teh
 
Hivi unawezaje kumpenda MTU halafu humsapoti huo unaitwa UNAFIKI.

Wewe ni mtanzania au mnigeria nini wajibu wako kama mtanzania?.

Obama sio rahisi bora zaidi ya Lincoln wala republicans hawavutiwi nae.Lakini inapokuja matters za State interest kwa Americans kama Sera za nje za marekani kokote wanapokuwa na maslahi napo kama taifa wapo nyuma yake.

Njoo jkt Tukupe somo la UZALENDO.
Mkuu zari amewakomesha!kwenu haters;
Haya haya Zari ameshawalambisha ndimu kule!!maswali yooote ameyajibu kwa ile gari aliyomnunulia mumewe mtarajiwa!
Yale maswali yote ya kuhusu mimba na mengine mengi amewajibu haters,wakaone jinsi walivyo ma bogus kwa kufata mkondo wa maji machafu!!.
 
Nifah:diamond alikukosea nn?mana sio bure umchukie MTU kiasi hicho

She is a witch, hypothetic,pathetic,desperado,Despaired n' jobless slut mazafantaz hahahahah eti hamna hoja leta hoja ujibiwe hoja leta kunya tujibu kunya .

Goddamn haters and traitors muda mchache ujao mtaisoma namba mtakufa kwa viijiba vya roho hahahahahahah

A fool is a fool

Mtashindana lakini hatomshinda.
 
huyo ndiyo mwenye akili na maana??kamwe kimbley siwezi fata akili za namna hii mimi,bora nimfate faiza sugu kama hali yenyewe itakuwa hiyo

Teh teh mbona kama moja refu lingine fupi?? Alafu moja limejaa lingine limepwaya hahaha hatarii paleee
 
Halafu mtu anajiita mwanaume huku kutwa yupo JF kidole kiko juu anachambana na wanawake!
Kaazi kwelikweli. ..

Hahaaaaa hao ni madume jike tu ndo wanawezea mipasho.
Dume zima kutokwa na povu kisa mwanaume mwenzako lazima kuna tatizo.
Bora hata wanawake inaeleweka tu wengine ni shiiiiiider.
 
Na wewe nakuroga usipewe unyumba mpaka kiba ashinde tuzo ya kimataifa teh teh teh

Hahahahaaa, unaanzia wapi sasa? Halafu unawezaje? Yule handsome alivyozimika hapa hata uje na hirizi gani...lol
Halafu kule kwetu hatuna mambo ya kishirikina bwana acha hizo.
 
Teh teh teh ulivyomtoa baruti umenifurahisha sana

ahahaha sasa nimfate davido mi mnaijeria!?davido mwenyewe anasisitiza watu wampigie kura Yemi Alade!halafu jingaz za kibongo zinataka kutushawishi wote sisi tukubali pumba zao
 
Back
Top Bottom