New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Watu na level zao wachawi wanarusha skadi hahahahahah
 

Attachments

  • 1434472841087.jpg
    1434472841087.jpg
    37.9 KB · Views: 196
  • 1434472860353.jpg
    1434472860353.jpg
    44.8 KB · Views: 187
  • 1434472882599.jpg
    1434472882599.jpg
    43.7 KB · Views: 174
  • 1434472904116.jpg
    1434472904116.jpg
    37.5 KB · Views: 187
Mimi siku hizi hata sishtuki kusikia domo katoa au kushirikishwa kwenye wimbo wowote ule maana hana jipya.

chuki haita kusaidia ndugu mwache mtanzania mwenzako atumie kipaji alichopewa na mungu au ulitaka abaki jobless mtaani ikli idadi ya vibaka ikngezeke. Mziki siyo siasa ndugu ulitaka jipya gani labda au aje awajengee barabara mtaani kwenu? Siyo fresh let us support each other.
 
Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.

Tushawazoea hamna jpya
 
Hahaha wanauzi hao nimeona leo Salama kawachana sana twitter. Watamwalibia mpaka mwenzao kwa watu ataonekana kama kawatuma kumbe uskute ata yeye hapendi.

Watamwalibia= watamharibia
askute= asikute
ata= hata
Jaribu kutoa boriti lililopo katika jicho lako kwanza ndio umtoe mwenzako.
cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Watamwalibia= watamuaribia
askute= asikute
ata= hata
Jaribu kutoa boriti lililopo katika jicho lako kwanza ndio umtoe mwenzako.
cc Matola

Watamwaribia!
 
Last edited by a moderator:
Watamwaribia!

Hebu nyambua neno haribu...
Tuanze...haribu, haribia, haribiana....
Hiyo mwaribia inatoka wapi?
Mimi naamini neno sahihi ni mharibia, hapo hata mimi nilikosea kidogo ila sio sawa na wewe.
 
Hilo la sauti limeshakuwa tatizo kwake sasa, mimi tokea aharibu kwenye ule wimbo wa Prof J siumizi tena kichwa.
Huwezi kulinganisha wimbo wowote alioshiriki domo na Kiboko Yangu ambapo King aliua vibaya sana.
Hakika Ali Kiba is gifted!

Maisha unafiki hayaend
 
Hebu nyambua neno haribu...
Tuanze...haribu, haribia, haribiana....
Hiyo mwaribia inatoka wapi?
Mimi naamini neno sahihi ni mharibia, hapo hata mimi nilikosea kidogo ila sio sawa na wewe.

kumbe umtalam wa kunyambua,nyambua basi na neno KUDADADEKI kama kweli wewe ni mtaalam kweli
 
we jamaa utakuwa unalaana ya wachawi wote duniani manke hayo matusi utafikiri umefomatiwa ubongo kichwa kimebaki kasha:angry::angry::angry::angry:
 
Tokea ilivotoka mwana yeye katoa zaidi ya nyimbo 5 though zingine sio official released.. But zoote kwa xx hazisikilizwi mtaani. Mwenzie mbili tyu but zoote on fire
 
Naijeria huko kimenuka!!!Davido awakera wanaija na wao waamua kumpigia kura DIAMOND!!Mpak kieleweke mwaka huu

watu bwana! kubalini tu diamond hana mshindani bongo hii zaidi ya wivu na chuki mtu wanaemshindanisha nae anaheshimu mashabiki lakini kiba msanii wa kawaida sana ndio mana hata nigeria hawamtafuti kwa collabo.
 
Back
Top Bottom