milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,066
Mi napita!naona matusi tu.
Uko sawa..diamond wakawaida sana..tumpe davido kura zetu bana eboo!
Unatudhalilisha sana wa kule bana.. Wewe na huyo mwenzako mnakuwa kama sio wa kule bana. Sasa nasi tungeoneana wivu hivi, tusingepeana support tungefika hapa tulipo?? Hii tabia wacha kabisa baki kwenye umbeya tu sio roho mbaya teh teh teh
Teh teh nimemuomba abaki kwenye umbeya kule anapendezea sana..
Haki ya nani Diamond kaisha wakuu, sijui ndio kupanic au kitu gani? Yani kafunikwa mbaya, hakika huyu siyo dai wa number 1.
Ipo siku utapigwa kidole wewe.
Mimi siku hizi hata sishtuki kusikia domo katoa au kushirikishwa kwenye wimbo wowote ule maana hana jipya.
Hahahahahah sikujua kumbe nawe ni kilaza kiasi hiki... Najua maisha tight mkuu ila dawa ni kupigana hivyo hivyo mikutano yenu ya ujasiriamali iliishia wapi mwanangu, nimekuona hustle zako sana kule business forum.
Mashabiki wa Kibakuli acheni kuweweseka..... Use.nge mwingi saana mpige msipige It wont make any difference.... Hayo makelele yenu ni sawa na kujaribh kuzuia mafuriko kwa Mikono
When Jesus say Yes Nobody can say No... Angekua Diamond wa kukata tamaa angekata tamaa kile kipindi mmeenda kumzomea Leaders...
GO DIAMOND...
Teh teh teh teh words don't lie.. JF bana
Hahaha wanauzi hao nimeona leo Salama kawachana sana twitter. Watamwalibia mpaka mwenzao kwa watu ataonekana kama kawatuma kumbe uskute ata yeye hapendi.
Mapovu yamezidi aisee endelea kutukana matusi yote mtajiju
Hahahahaaa, waliokuwa likizo si wamerudi? Maumivu ya tuzo yameshapoa ndio wanajifariji...
Umeona ile post ya gari alilopewa domo na zari?
Sisemi zaidi nenda ukacheke.
Haters n' traitors show your white flag pliiiz battle hamuiwezi mmebaki wenyewe majemadari wenu wameingia mitini kama M23 hahahahah .
Eti dume jike nyooooooooo!!!!
Ushamwona dumejike wewe njoeni tusugue vin..na hivyo na k zenu na mik..ndu hiyo inaonekana haijasuguliwa gaga tangu enzi dai anam hit queen michirizi
Mpaka mshakua confused na frustrated hahahhhaahh
Mnataka kuinua chuma cha kilo 10 mikono yenyewe chelewa .
Hahahahah
Mkafie mbali witches and wizards.
Bear it in your mind....acha kuwangaaa;!!!
Teh teh teh especially kwa jike dume
We mdada una matusi kha.. umekula lakini?