Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,398
Kwa kweli hii week nimeshuhudia drama nyingi sana na mapovu ya hatari yani hadi wachawi wamewajua wachawi wenzao maana wanakutanaga kuwanga wote.
Majority ya wabongo hawajui kushindana kihoja zaidi ya kuja na hoja ya wivu na uchawi hawawezi kujadiliana.
Kwa kweli hii week full drama full mapovu.
Piga tu yani mi nimejaribu kupiga Mara moja na sijihangaishi tena naangalia mapovu tu na kucheka basi.
Kigezo kikubwa ni uchawi, hoja ya wachawi ikichosha wanahamia kusema kua tunamtaka NDOMO.
Wakichoka hapo wanaanza kutuattack sasa...
Mtu anaongea vitu kama mwendawazimu huku hata hajui wewe ni nani!
Kiukweli hii wiki imenifanya nikajua watu wengi huku akili zao zikoje.Watu wamepanick hadi wanatia huruma.