New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Unawazimu ww.....tena na huyo uliyemquote sio wazima nyie af nahisi ni masikin nyie....kiba mwenyewe anampigia kura diamond then nyie vifaranga ndo mnawashwa.....

Huyo alimqoute yupo jobless yupo desperado ndani ya ubongo wake ana elementi za kinafki, husda,kishirikina, na kichawi.

Sababu hapendi mafanikio ya watu hata iweje .

Na sijui kama alienda shule na kama alienda basi alienda kusoma ujinga( faizafoxy quote).

Hawezi kujenga hoja .Fani yake kubwa ni ukuda uliopitiliza mipaka wa kiwango A.

All in all watashindana lakini hawatashinda.
 
Haki ya nani Diamond kaisha wakuu, sijui ndio kupanic au kitu gani? Yani kafunikwa mbaya, hakika huyu siyo dai wa number 1.

Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.

Umenena mkuu, yani Dai toka lile collabo lake na Waje kwenye coco baby mpaka leo kawa mtu wa kubana sauti khaah.

Mkuu nina wasiwasi na masikio yako.

Hivi kukosoa kitu ni chuki mkuu?

I think you are more better than this.

Mbona umechoka mapema! Au 8mb zimeisha.
 
Attachments

  • 1434464778844.jpg
    1434464778844.jpg
    22.9 KB · Views: 152
Mbona unalia lia pembeni mwanaume si unitaje tu?
Halafu mtu huyanena yale yaliyoujaza ubongo wake, haihitajiki akili ya ziada kujua wewe ni mtu wa aina gani.

Blue...tulia, andika kitu kinachoeleweka.Hapo ulikua unamaanisha nini?
Hatupo kwenye vita hapa, maana umepanic hadi hujielewi.

Hivi umetajwa kumbee hahahahah nimejiandikia tu!!!!!!

Poleee mamsapu .Punguza husda

Nipo hapa jkt njoo nikupe somo la UZALENDO maana naona funza wamejaa kwenye ubongo na tambala hilo jekundu.

Unashangaa nimeandikaje kwa hujui typing error , hata kitabu hukosewa ndo maana kuna edition hufutia.

Punguza munkari nani kapanic hahahahahahh

Jiongeze.
 
Kwahiyo unataka kusema domo na ucelebrity wake wote hana mashabiki au followers wa kumpigia kura hadi achukue tuzo 2 tu kati ya vipengele vyote 7 sijui 8 alivyovipata kwenye KTMA?
Kwani unadhani sijui kua wasanii wanavyopost vile kwenye page zao ni kuwahamasisha mashabiki wao wampigie kura waliyempost?
Mimi nilisupport kua akina Nick (masharobaro) hawapigi kura na sio vinginevyo.
Wakati mwingine jaribu kutumia ustaarabu katika kuwasilisha mawazo yako, hayo matusi yako sio issue hata mimi nayaweza sana basi tu sipendi kuyatumia.

:thumbdown:
 
Mbona unalia lia pembeni mwanaume si unitaje tu?
Halafu mtu huyanena yale yaliyoujaza ubongo wake, haihitajiki akili ya ziada kujua wewe ni mtu wa aina gani.

Blue...tulia, andika kitu kinachoeleweka.Hapo ulikua unamaanisha nini?
Hatupo kwenye vita hapa, maana umepanic hadi hujielewi.

We kweli ni best of all time kabisa unatoa point zilizoenda shule hadi wanaume suruali wana paniki na kuandika matusi badala ya kujibu hoja.
Wanaume wana hasira ka nini aisee wanaume wengine ni wa wapotezea tu mamii mana ni janga.
Wambea kuliko wanawake na haajiamini loh😕😕:thumbup::thumbup:
 
Hahahahahahahah hiyo mibangiiiii mnayovuta( haters) ni stimu za kubanduka.....kama kweli sio fani yenu kwa kweli mtaumbukaaaaaaaa!!!!!

Vijaaho vimewatoka chemkachemka

Hahahahah enzi hizo necha na kingsapeto ndani" kigetogeto" sijui " ili gemu" hahahahah long taimu sana.

Mjiongezee
 
Demu zima kukata kiuno jf ni udhaifu mkubwa sana kuendekeza mambo ya wanawake. Loh point zile zile mda wote ka kidume kweli njoo na maneno mapya hayo yamezoeleka.
Dedication wanaume ka mabinti by Commando Jide.
 
wadau campeni ya kuwapigia kura diamond na vanessa inaendelea vizuri sapport kubwa kutoka kwa.
Flaviana matata
Millen magessa
zari the bosslady
eric omondi
lulu michael
idriss sultan
millard ayo
B12
adam mchomvu
salama jabir
madam rita
joh makini
nikki wa pili
G nako
dj mafuvu
nawengine kibao mpaka tuzo zije nyumbani vote vote vote vote.
When God say yes nobody can say no.
Achaneni na hawa wasiojielewa

Ao wote uliowataja hawana nguvu kwenye social media kama yule dogie na wafuasi wake
 
Kama humpendi diamond na unazichukia kazi na jitihada zake na wewe sio fan wake .

Yanini kuwaza yanini kumuongele , yanini kujichanganya kwenye kwenye kijiwe kinazunguza mambo yake .yanini yote haya ,yanini maneno, yanini malumbano...meza iiwe kama tuli kama maji ya mtungini.

Kama ukibisha we mchawi tu au unaelementi za kichawi bado hazijawa utilized hahahahah

Mtashindana lakini hamtashinda.
 
Ao wote uliowataja hawana nguvu kwenye social media kama yule dogie na wafuasi wake

Hata hawaelewi hii week ina vituko mno aisee kuanzia instagramu Mpaka jf mitusi na mapovu yana mwagika mno.

Napenda sana hii week kwa kweli mapovu yamemwangika kuzidi Indian ocean.
 
ametoa agizo kwa team yake wampigie vannessa!!
Yaani idrissa nimempenda sana!anamtupia mabango huyo malaya kiwango kama hana akili nzuri!!
Kila rafiki anamtema yule madame sio bure kuna kitu.

Salama jabir na yeye amempa makavu yake ya mbali halafu akasepa

Yaani wewe watu wa maana kwako ni salama msgji na sharobaro idrissa..wakiongea na wewe unafata.. tunaenda ki-pan-africanism..davido..ni jembe huo ndio ukweli..
 
Kama humpendi diamond na unazichukia kazi na jitihada zake na wewe sio fan wake .

Yanini kuwaza yanini kumuongele , yanini kujichanganya kwenye kwenye kijiwe kinazunguza mambo yake .yanini yote haya ,yanini maneno, yanini malumbano...meza iiwe kama tuli kama maji ya mtungini.

Kama ukibisha we mchawi tu au unaelementi za kichawi bado hazijawa utilized hahahahah

Mtashindana lakini hamtashinda.

Diamond tunampenda lakini hawezi kumfikia Davido kwa mziki..ndio maana tunampigia davido kura maana ni bora kuliko diamond..na diamond hamfikii ata wizkid sembuse davido..
 
Kama nguvu ya MTU IPO kwenye idadi ya followers tufanye mathematics oparation(summation) kuanzia kwa dai mpaka stars wanaompa shavu kisha kwa wazalendo .

Sijui hata kama hesabu mnazijua may be wakati wa hesabu mlikua mnapuliza cha arusha chooni. Mli-escape from sobibo hhhahahhahha so sad

Talking of the facts...wishy-washy nonsenses trash 'em chooni.

Stay awaken you goddamn traitors n' haters.

Patriotism on STATE issues :thumbup::thumbup::thumbup:
 
Yaani wewe watu wa maana kwako ni salama msgji na sharobaro idrissa..wakiongea na wewe unafata.. tunaenda ki-pan-africanism..davido..ni jembe huo ndio ukweli..
jembe kwako mi kwangu mpini tu huo!!
haya kwenda kulee kafate majinga wenzio mumpigie mnayemtaka
 
We kweli ni best of all time kabisa unatoa point zilizoenda shule hadi wanaume suruali wana paniki na kuandika matusi badala ya kujibu hoja.
Wanaume wana hasira ka nini aisee wanaume wengine ni wa wapotezea tu mamii mana ni janga.
Wambea kuliko wanawake na haajiamini loh😕😕:thumbup::thumbup:

Hahahahaaa, ujue nacheka? Nacheka hapa kama sina akili nzuri.
Tatizo kupingana kwa hoja hawawezi wana kazi ya kulia lia tu.
Kisa, wanalazimisha tumpigie kura NDOMO.
NDOMO ni nani? Kura sipigi na hakuna anayeweza kunifanya chochote.
Tena ngoja nije na screen shots ili wazidi kukata viuno nyuma ya keyboard vizuri.
 
Back
Top Bottom