New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Hao masharobaro uliowataja unazani wanapiga kura..jidanganye..mbona na mbwembwe zote king kiba kachukua tuzo 5.. hao masharobaro walikuwa wapi?
Hata mie nisiyependa mziki kiivo napiga kura kila siku kwa wanamziki wa afrika mashariki!!ingia social networks za kenya wote wanawasupport wanamziki wa afrika mashariki!wanapiga kura kwel!!chuki zenu mtabaki nazo hivyohivyo
 
wadau campeni ya kuwapigia kura diamond na vanessa inaendelea vizuri sapport kubwa kutoka kwa.
Flaviana matata
Millen magessa
zari the bosslady
eric omondi
lulu michael
idriss sultan
millard ayo
B12
adam mchomvu
salama jabir
madam rita
joh makini
nikki wa pili
G nako
dj mafuvu
nawengine kibao mpaka tuzo zije nyumbani vote vote vote vote.
When God say yes nobody can say no.
Achaneni na hawa wasiojielewa

yaani leo insta kuna raha sana!!ngoja niongeze mkuu idadi
Izzo bussiness
juma jux
Jeniffer kyaka au odama
aggness masogange
madee ali
dj fetty
dida shaibu
jini kabula
norah
weusi
na idadi inaendelea.......
 
Hata mie nisiyependa mziki kiivo napiga kura kila siku kwa wanamziki wa afrika mashariki!!ingia social networks za kenya wote wanawasupport wanamziki wa afrika mashariki!wanapiga kura kwel!!chuki zenu mtabaki nazo hivyohivyo

kwa pamoja tutashinda!!
 
Hao masharobaro uliowataja unazani wanapiga kura..jidanganye..mbona na mbwembwe zote king kiba kachukua tuzo 5.. hao masharobaro walikuwa wapi?

Hivi mkuu upo dunia hii kweli??? na wasiwasi na ulichokiandika maana kinaendana na mtu aliotoka milembe
 
yaani leo insta kuna raha sana!!ngoja niongeze mkuu idadi
Izzo bussiness
juma jux
Jeniffer kyaka au odama
aggness masogange
madee ali
dj fetty
dida shaibu
jini kabula
norah
weusi
na idadi inaendelea.......

Hahah mastar wakubwa wanasapport nahis madam wao kashika simu sahv anajishauri cjui niuplodi ya Mondi au hahaha
 
so hao ulio wataja hapo ndio wanabeba chakula cha watanzania??i think that group na wewe ndio hamjielewi huwezi kutushawishi tum votie wakati kwenye categories wapo wengi tuu and they have hit songs zinazo bang kibongobongo..

wapi nimeandika kumlazimisha mtu ampigie kula mwingine? Wewe chagua unae mtaka , hapo nimewataja watu maarufu wanao sapoti nyumbani. Hivi uko shule ulienda kusomea ujinga? Hata diamond akikosa tuzo sio kesi as long as tumemsapoti, waliopo pale wote ni the best.
 
Mwimbo mzuri hadi raha

Sauti sautiz kila binadamu na sauti yake mmezidi kumsema sauti sauti mnataka aji.ue arudi kama mtu mwingine khaaaaa

Kama haumpendi Diamond unasikiliza wa nini?

Mwacheni na sauti yake wanaoona ni yake qanaikubali hata kimataifa nyie shuti kila mlalapo muamkapo haoooooo

Kusikilizia vitoa sauti vyenyewe hata bass havina.

Hongera Diamond tena kwa kupeperusha nchi yetu

ahahahaha!!tena hao wachawi ndio wanaongoza kwa kuangalia nyimbo za chibu huko youtube!!
 
Hao masharobaro uliowataja unazani wanapiga kura..jidanganye..mbona na mbwembwe zote king kiba kachukua tuzo 5.. hao masharobaro walikuwa wapi?

Hahahahaaa, mkuu umeua....
Sidhani kama utajibiwa hapo.Na ukijibiwa basi ni tofauti na swali ulilouliza.

Daaah!! ushabiki kweli unamfanya mtu awe punguani na kusaport kila kitu hata kama ni pumba...kwaiyo nifah unadhani hizo tunzo 5 alizochukua Ali K kura zote alipiga Wema na Jokate tu??? Celebrities wana mashabiki wao so followers wakiona mtu katupia promo na wao wanashawishika kupiga kura.....na wasiwasi sana na hii team kiba kwenye upeo wao wa kufikiri, pengine uwa mnatumia maka.lio kufikiri badala ya ubongo.
 
Last edited by a moderator:
Hahah mastar wakubwa wanasapport nahis madam wao kashika simu sahv anajishauri cjui niuplodi ya Mondi au hahaha

ametoa agizo kwa team yake wampigie vannessa!!
Yaani idrissa nimempenda sana!anamtupia mabango huyo malaya kiwango kama hana akili nzuri!!
Kila rafiki anamtema yule madame sio bure kuna kitu.

Salama jabir na yeye amempa makavu yake ya mbali halafu akasepa
 
wapi nimeandika kumlazimisha mtu ampigie kula mwingine? Wewe chagua unae mtaka , hapo nimewataja watu maarufu wanao sapoti nyumbani. Hivi uko shule ulienda kusomea ujinga? Hata diamond akikosa tuzo sio kesi as long as tumemsapoti, waliopo pale wote ni the best.

kwenye hili jukwaa huru kama wewe ulivyo hamasisha kuvote na mimi nahamasisha kutokumvotia mondi...!!!
 
Daaah!! ushabiki kweli unamfanya mtu awe punguani na kusaport kila kitu hata kama ni pumba...kwaiyo nifah unadhani hizo tunzo 5 alizochukua Ali K kura zote alipiga Wema na Jokate tu??? Celebrities wana mashabiki wao so followers wakiona mtu katupia promo na wao wanashawishika kupiga kura.....na wasiwasi sana na hii team kiba kwenye upeo wao wa kufikiri, pengine uwa mnatumia maka.lio kufikiri badala ya ubongo.

Kwahiyo unataka kusema domo na ucelebrity wake wote hana mashabiki au followers wa kumpigia kura hadi achukue tuzo 2 tu kati ya vipengele vyote 7 sijui 8 alivyovipata kwenye KTMA?
Kwani unadhani sijui kua wasanii wanavyopost vile kwenye page zao ni kuwahamasisha mashabiki wao wampigie kura waliyempost?
Mimi nilisupport kua akina Nick (masharobaro) hawapigi kura na sio vinginevyo.
Wakati mwingine jaribu kutumia ustaarabu katika kuwasilisha mawazo yako, hayo matusi yako sio issue hata mimi nayaweza sana basi tu sipendi kuyatumia.
 
Last edited by a moderator:
Ila tuweke tu ushabiki pembeni, twendeni kwa facts..diamond 2014 hakufanya poa kivile compared to 2013, haya maswala ya uzalendo ni kutafutiana dhambi za makusudi tu, niupigie bumbum ushinde na wakati deep inside naamini co bora ukicompare na za wenzake..kwann tucwape watu wanachostahili, akifanya poa fine,tumpe full support akiboronga tuwape wanaostahili...akishindwa pia ataumiza akili zaidi kujua wapi alipozingua ili next time aje na best things zaidi, atafika mbali zaidi...kwahiyo mtutolee hilo vumbi lenu la uzalendo! Vanessa yes, diamond kwa mwaka 2014 me kwangu hapana
 
Haya tumekusikia tuma salamu kwa watu 3, wabongo bhana kwaiyo waliomueka pale ile academy ya mtv hawakuona hajafanya kitu.
 
Ila tuweke tu ushabiki pembeni, twendeni kwa facts..diamond 2014 hakufanya poa kivile compared to 2013, haya maswala ya uzalendo ni kutafutiana dhambi za makusudi tu, niupigie bumbum ushinde na wakati deep inside naamini co bora ukicompare na za wenzake..kwann tucwape watu wanachostahili, akifanya poa fine,tumpe full support akiboronga tuwape wanaostahili...akishindwa pia ataumiza akili zaidi kujua wapi alipozingua ili next time aje na best things zaidi, atafika mbali zaidi...kwahiyo mtutolee hilo vumbi lenu la uzalendo! Vanessa yes, diamond kwa mwaka 2014 me kwangu hapana

piga kura kama huwez kalisha hcho kipuri kimya
 
Back
Top Bottom