New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Tokea ilivotoka mwana yeye katoa zaidi ya nyimbo 5 though zingine sio official released.. But zoote kwa xx hazisikilizwi mtaani. Mwenzie mbili tyu but zoote on fire

ni wewe tu usiyesikiliza wenzio tunasikiliza na zinabamba kisawasawa hata hivyo usingejua kuwa ziko tano kama hazisikilizwi kwa kuzingatia kauli hiyo hata wewe unasikiliza
 
ni wewe tu usiyesikiliza wenzio tunasikiliza na zinabamba kisawasawa hata hivyo usingejua kuwa ziko tano kama hazisikilizwi kwa kuzingatia kauli hiyo hata wewe unasikiliza

Yaaah mm nimpenz wa muziki mzuri akiiimba kizuri lazima nikisifie but upepo unabadilika kwa wewe usiekubali kuelewa .. Ila now mambo magumu ngoja tuone
 
Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.

Hivi huu mchezo wa multiple Id's utaacha lini? Maana unazitumia kwa pamoja unasahau mtu mmoja hata ukitumia Id tofauti lakini ujenzi wa hoja hauwezi kuwa tofauti.
 
Aisee inasikitisha na kushangaza sana kuona jinsi watu wanavyomchukia DP pamoja na kuwa hajawakosea lolote na wengine hata kumbeza maumbile yake utadhani wao ni Mungu. Kumbukeni kabla hujafa hujaumbwa na Mungu si Athumani anaweza akaamua kufanya yake wakati bado mpo hapa hapa duniani kutokana na chuki zenu za kutisha.

Chuki ni mbaya sana
 
We kweli umekosa hoja sasa umeambiwa wewe nyimbo ya diamond? Kweli akili ni nywele

Wewe ndio mpumbavu kabisa. Kwani jamaa ameandika wimbo ni wa nani pale? Jamaa kasema domo amefunikwa. Vocal za domo hazisikiki kabisa.
 
Hilo la sauti limeshakuwa tatizo kwake sasa, mimi tokea aharibu kwenye ule wimbo wa Prof J siumizi tena kichwa.
Huwezi kulinganisha wimbo wowote alioshiriki domo na Kiboko Yangu ambapo King aliua vibaya sana.
Hakika Ali Kiba is gifted!

chuki binafsi haijengi mkuu
 
Nashangaa mtu anasifia wimbo huu anauponda fans mi wa davido
 
Back
Top Bottom