New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Sipendi Diamond anavyoimba,maneno huwa hayaeleweki kabisa,mpaka umsikilize kwa makini sana,mfano wimbo wa nana,maneno hayaeleweki kabisa

Hahahahaaa, sema wewe madame Victoire. ...
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaha!!leteni za kwenu zinazosikika mxfuxfuuuuuu zenu!!mbona hatuoni hata collabo moja ya kwenu ya kimataifa inayosikika???nyie subirini tu!

Na hawawezi watapata wapi collabo coz MTU mwenyewe wanayemsapoti kabweteka ,amejaa uswahili tupu .

Yeye anangoja kupewa promo na wadada wa mjini.

Watangoja sana hadi matumbo yapasuke.

Watashindana lakini hawatashinda hhhahahah
 
Yani kila mtu Nikki wa pili Gnako Izzo B Millen Magese wote thy sapport our own diamond and vannessa

Hao masharobaro uliowataja unazani wanapiga kura..jidanganye..mbona na mbwembwe zote king kiba kachukua tuzo 5.. hao masharobaro walikuwa wapi?
 
Hao masharobaro uliowataja unazani wanapiga kura..jidanganye..mbona na mbwembwe zote king kiba kachukua tuzo 5.. hao masharobaro walikuwa wapi?

Hahahahaaa, mkuu umeua....
Sidhani kama utajibiwa hapo.Na ukijibiwa basi ni tofauti na swali ulilouliza.
 
Mwimbo mzuri hadi raha

Sauti sautiz kila binadamu na sauti yake mmezidi kumsema sauti sauti mnataka aji.ue arudi kama mtu mwingine khaaaaa

Kama haumpendi Diamond unasikiliza wa nini?

Mwacheni na sauti yake wanaoona ni yake qanaikubali hata kimataifa nyie shuti kila mlalapo muamkapo haoooooo

Kusikilizia vitoa sauti vyenyewe hata bass havina.

Hongera Diamond tena kwa kupeperusha nchi yetu
 
Si bora hata ya kenge kuliko mchawi na mshirikina alievaa Kaniki nyekundu kichwa na USO umempauka utadhani amepaka majivu hahahahhha

Mbaya zaidi sijui kapitapaje humu ndani ya huu Uzi sijui kuta sijui kwenye UFA hhhahahaha
 
Aisee nimeiskiza hiyo nyimbo ni balaa tupu, Diamond kaua sana. Naweza kusema hii ndio best collabo ya Diamond aliofanya na wanaija na itasumbua sana. Tegeni sikio vizuri. Next week inakuja video yake hatari tupu.... Nenge nini?
 
Unawazimu ww.....tena na huyo uliyemquote sio wazima nyie af nahisi ni masikin nyie....kiba mwenyewe anampigia kura diamond then nyie vifaranga ndo mnawashwa.....

Kwani Kiba akimpigia kura huyo domo sisi inatuhusu nini?
Hayo ni maamuzi yake, na sisi tuna maamuzi yetu.
Ni upumbavu kuingilia uhuru wa mwingine kwa sababu zisizokua na mashiko.
 
wadau campeni ya kuwapigia kura diamond na vanessa inaendelea vizuri sapport kubwa kutoka kwa.
Flaviana matata
Millen magessa
zari the bosslady
eric omondi
lulu michael
idriss sultan
millard ayo
B12
adam mchomvu
salama jabir
madam rita
joh makini
nikki wa pili
G nako
dj mafuvu
nawengine kibao mpaka tuzo zije nyumbani vote vote vote vote.
When God say yes nobody can say no.
Achaneni na hawa wasiojielewa
 
Na hawawezi watapata wapi collabo coz MTU mwenyewe wanayemsapoti kabweteka ,amejaa uswahili tupu .

Yeye anangoja kupewa promo na wadada wa mjini.

Watangoja sana hadi matumbo yapasuke.

Watashindana lakini hawatashinda hhhahahah

ahahahahaha!!watajibeba mwaka huu!,
 
Si bora hata ya kenge kuliko mchawi na mshirikina alievaa Kaniki nyekundu kichwa na USO umempauka utadhani amepaka majivu hahahahhha

Mbaya zaidi sijui kapitapaje humu ndani ya huu Uzi sijui kuta sijui kwenye UFA hhhahahaha

Mbona unalia lia pembeni mwanaume si unitaje tu?
Halafu mtu huyanena yale yaliyoujaza ubongo wake, haihitajiki akili ya ziada kujua wewe ni mtu wa aina gani.

Blue...tulia, andika kitu kinachoeleweka.Hapo ulikua unamaanisha nini?
Hatupo kwenye vita hapa, maana umepanic hadi hujielewi.
 
wadau campeni ya kuwapigia kura diamond na vanessa inaendelea vizuri sapport kubwa kutoka kwa.
Flaviana matata
millen magessa
zari the bosslady
eric omondi
lulu michael
idriss sultan
millard ayo
b12
adam mchomvu
salama jabir
madam rita
joh makini
nikki wa pili
g nako
dj mafuvu
nawengine kibao mpaka tuzo zije nyumbani vote vote vote vote.
When god say yes nobody can say no.
Achaneni na hawa wasiojielewa

so hao ulio wataja hapo ndio wanabeba chakula cha watanzania??i think that group na wewe ndio hamjielewi huwezi kutushawishi tum votie wakati kwenye categories wapo wengi tuu and they have hit songs zinazo bang kibongobongo..
 
Back
Top Bottom