Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,211
- 27,033
Hahahahaaa, waliokua likizo wameanza kurudi taratiiibu. ..
Kwi kwi kwiiiii
Sana tu
Haters and traitors gonna hate.
Hollaaaaaa!!!!
Tanzania baby
Mtashindana lakini hamtoshinda!;!!!!!!!
Hahahahaaa, waliokua likizo wameanza kurudi taratiiibu. ..
Kwi kwi kwiiiii
Naijeria huko kimenuka!!!Davido awakera wanaija na wao waamua kumpigia kura DIAMOND!!Mpak kieleweke mwaka huu
Sana tu
Haters and traitors gonna hate.
Hollaaaaaa!!!!
Tanzania baby
Mtashindana lakini hamtoshinda!;!!!!!!!
Traitors and haters gonna hate ..stay tunned kaka!!
Wewe siku hizi ni msemaji wa wanaijeria siku hizi?
Sasa hiyo post yangu uliyoquote inahusiana nini na ulichojibu?
Acha kujipendekeza wewe, sio kila post unaquote.
Hahahahaaa, waliokua likizo wameanza kurudi taratiiibu. ..
Kwi kwi kwiiiii
ni Tanzania pekee unakutana na masikini mwenye roho mbaya kuliko mchawi.
Nijipendekeza kwako kwa lipi!!!!?
Kwa fame gani ambayo unayo humu .
JF ulinikuta kama unabisha cheki join date yangu na yako.
Kafie mbalii!!!!!!
Ova and out
Asiyeelewa diamond alichokiimba humo ndani basi ana nyege za masikio
Sipendi Diamond anavyoimba,maneno huwa hayaeleweki kabisa,mpaka umsikilize kwa makini sana,mfano wimbo wa nana,maneno hayaeleweki kabisa
salama jabiri twetter huko ameshawachamba team local!joh makini nay yeye amevunja ukimya ameungana na diamond,lulu na idrissa ndio kabisaaaa!lazima kizuri kijulikane mwaka huu!!
Nikukute nisikukute hayo ni yako.
Hahahaaaa, kumbe watu mnalilia fame ya JF? Maajabu haya.
Halafu utakuta jianaume kama hili lina familia!
Nauliza post yangu uliyoquote na majibu yako yanahusiana vipi?
Ningekua nimekuquote sawa, hapo nikikuambia unajipendekeza unapinga?
Unapinga kwa sababu zipi?
Wewe tunakujua kuwa ni timu Kiba sasa acha kuumia roho na kuandika uongo.
Badaka ya kumpaisha unayempenda bila kusifia kila msanii yoyote afanyaye vizuri kama wengi sie.
Wewe umeamka tena kutaka kumchafua Diamond, tuzo hazijakutosha ukamwacha kijana wa watu.
Ila inaonyesha unajua kuwa Diamond ni hakunaga na ndio maana unakosa usingizi ba wivu umekujaa
Pole sana, lia lia tu.
Mungu akipanga amepanga.