New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Naijeria huko kimenuka!!!Davido awakera wanaija na wao waamua kumpigia kura DIAMOND!!Mpak kieleweke mwaka huu
 
Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.

Matatizo ya utapiamlo ukubwani
 
Na tako pia mpe
 
We unaweza kuwa mchawi halafu we timu kibaka for real.

So huna jipya zaidi ya kurusha skadi tu hahahhahah
 
Aaahh we mbebezz nimekuzimikia ghafla teh teh

salama jabiri twetter huko ameshawachamba team local!joh makini nay yeye amevunja ukimya ameungana na diamond,lulu na idrissa ndio kabisaaaa!lazima kizuri kijulikane mwaka huu!!
 
salama jabiri twetter huko ameshawachamba team local!joh makini nay yeye amevunja ukimya ameungana na diamond,lulu na idrissa ndio kabisaaaa!lazima kizuri kijulikane mwaka huu!!

Watu wanaojielewa hawawezi support mambo ya ajabu ajabu.. Muda ndio utakaoongea
 
Hahahahaaa, waliokua likizo wameanza kurudi taratiiibu. ..
Kwi kwi kwiiiii
 
Ulitaka amfunike mwenye wimbo. ..

mkuu achana na hawa hawana hoja hata nyimbo ya nana ilivyotoka walisema mbaya lakini ndo habari ya africa kila channel inapigwa na watu wameikubali kibongo bongo ndo kabisa sio clabs wala kwenye masherehe na kwenye radio requests ndo kabisa
 
Mimi hayo mambo ya kura sipigagi ila ashinde au asishinde bado Diamond ni mwanamziki mzuri na anatuwakilisha vyema.. Ila nawaaminia pigeni kura kwa nguvu zote muwaumize roho traitors

Traitors and haters gonna hate ..stay tunned kaka!!
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania imefanikiwa kupata msanii ambaye anaonekana anafaa kushindanishwa na wasanii wengine wa kiafrika kama "best male" ni dhahiri Afrika nzima inatambua uwepo wake na kipaji chake mbali na kuitambua Tanzania kama nchi inayomtoa msanii huyo....hapa Tanzania inaonekana anapigwa vita na watu wasiojitambua na kutambua hatua ambayo kijana mwenzetu kaifikia ni utovu wa nidhamu kumdharau mtu anayekutambulisha kimataifa.
Wanaomchukia Diamond ni mademu zake wa zamani na ndio wameanzisha kampeni ya kumshusha, sasa napata shida nikiona mwanaume mzima naye anashiriki katika hii chuki je! Na wewe ni mmoja wa watu Diamond aliopita nao?
 
Back
Top Bottom