1. Ukitaka kuwa bilionea anzisha biashara ya kuuza honi za magari na pikipiki hapo Newdelhi.
2. Kuna baashi ya maeneo mama NOIDA bajaji zinapita upande wowote wa barabara so usishangae wakati unaenda ukakutana na bajaji zinarusi ya ni vururu vururu.
3. Ni nadra sana kuwaona polisi yani polisi ni mmoja mmoja sana.
4. Usishangae kuona ng'ombe wanakula majalalani kama mbwa.
5. Bia zinauzwa kwa kificho sana si rahisi kuziona bar kama bongo hapa.
6. Wamejitahidi sana kuwaelimisha wagu wao kuhusu kulipa kodi wao wanaiita GST, so utakaponunua kitu ata kwa maduka madogo madogo lazima utalipa kodi na lazima utapa risiti.
7. Bureau de change zipo congrolled sana, na ukienda badili pesa lazima uwe na vitambulisho halali.
8.