hahah
ahahahaha GB road kaka siku ya kwanza sijatimba mshikaj wangu mmoja alikuwa anasoma Punjab , mji wa Chandighar akaniambia hapo kuna watoto wengi paka wakichina kinepal, nikawa navuta picha itakuwa bonge la sehemu , nikachukua Rickshaw nilikuwa mitaa ya Rajiv Chowk usiku nakula mtungi, kwenda pale kujionea hayo mazingira balaa, kwenye ngazi unapishana na watu mia wanapanda mia wanashuka, uwanja wa fisi unasubiri, unagonga ishu kwenye vitanda vya chaga tupu, paka msuli ukanikamata , bei ni rupee 500 tu ilikuwa, what an experience , mimi nahisi nyumba ilikuwa 60 fulani mayb au 70 aswell