Tengu mwana
Member
- Mar 1, 2015
- 35
- 5
Dadavua kidogo.
Dadavua kidogo.
Nlikutana na kitu moja inaitwa kingfisher ipo kama bavaria 8.6 iliniumbua mazee
Yes jamaa barabara nyingi ni oneway. Na niza ghorofaView attachment 477376Bengaluru: Inasemekana ni mji wa 5 kwa ukubwa nchini India.
Nlikuwa natumia zaido oto kule zina bei ndogo balaa. Yaan kwa rupee 100 unaweza kutoka kariakoo hadi kibaha pale mzanikitu nilichokipenda India ni kwamba unaweza kukata nauli ya siku nzima. ukiwa na pirika za hapa na pale hamna kudaiwa nauli apo
kitu nilichokipenda India ni kwamba unaweza kukata nauli ya siku nzima. ukiwa na pirika za hapa na pale hamna kudaiwa nauli apo
Mkuu umepotelea wapi? Nakukumbukaga sana na avatar picha yako ya fidel castro. Naona ukaibadilisha na luis farrakhanHiyo namba 7 kama ni kweli basi ina maana wakaazi wa New Delhi wote wana kansa?!
Namba 9 upo sahihi kabisa,India madereva wengi wanaendesha Magari huku wanapiga honi hovyo tu! Niliwahi kumuuliza Muhindi mmoja "kwanini mnapiga honi hovyo?" Akanijibu hata yeye hajui!! Amezaliwa nae amekuta tu hiyo tabia ipo!!
Namba 10 hizo Bajaj miji mingi India wanaziita "Rikshoo"
Kingine ambacho mgeni atapata tabu ni jinsi ya kupata chakula ambacho hakijatiwa pilipili!! Muhindi hata ukimwambia "usiweke pilipili" lazima ataweka tu coz ya mazowea yao,
Ila wahindi wengi wanatilia sana mkazo masomi,wengi wako bussy kuitafuta elimu,pia ni watu wenye "Akili" sana na ni wepesi wa kuelewa jambo.