New Delhi: Tembea ujionee

New Delhi: Tembea ujionee

Uzuri wa nauli ya india ni nafuu kuliko dar-nairobi kwa ndege. .....nimekata Rwandair kwa 308 usd....dar-mumbai-dar
 
Kenya airway ndo cheap kuliko zote zinazofika bombey, jaribu Kenya airway
 
Bangarole na mumbai

Bangalore pametulia sana na hakuna fujo fujo...Goa nimekaa wiki moja ni mji wa kitalii na vinywaji ni bei rahisi sana..
Delhi nlipita kwa siku moja tuu na naweza sema uwanja wao wa ndege ni moja kati ya viwanja bora duniani.
 
Bangarole ndo nimekaa mda mrefu sana. Goa kama wiki 2 nlienda tour. Kule full starehe. Maana kuna meli kubwa ni cassino mnaenda huko usiku kucha full kula bata mpaka alfajiri ndo mnarudi. Kuna mpaka vyumba vya kulala
 
Bangarole mabasi ya long safari kama dar mwanza yanaondoka saa mbili yanasafiri usiku kucha. Yaan full amani
 
Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Ahahahaa, .... ding ding
 
Kuna maskini wa kutisha pengine kuliko hata bongo, ni India yote kwa ujumla! Omba omba wa kule anaweza kukufata anaomba umbli mrefu kama Kariakoo mpk Manzese, anaomba tu, mpk umpe!
Hahahahaa aisee mkuu wameadvance kila kitu hadi style ya kuomba!
 
Bangalore pametulia sana na hakuna fujo fujo...Goa nimekaa wiki moja ni mji wa kitalii na vinywaji ni bei rahisi sana..
Delhi nlipita kwa siku moja tuu na naweza sema uwanja wao wa ndege ni moja kati ya viwanja bora duniani.
Nlikutana na kitu moja inaitwa kingfisher ipo kama bavaria 8.6 iliniumbua mazee
 
Back
Top Bottom