Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
- Thread starter
- #21
Umesema kweli Mkuu. NOIDA SECTOR 62 pia lilikuwa chimbo langu la kusocialize na wabongoAnglijie tarun dukan kahe? English wine shop hazipatikani kirahisi ila ukiingia Parika Bazar halufu za UDI ni zaidi ya kuvuta bange!
Larlikie kibao kaka sema tena ukiwa mmatumbi wanashoboka kinouma Nouma na kuanzia 50 rupie.
Nyongeza Delhi wanavyuo vingi sana ukienda Noida hutoamini jinsi wadosi wasivyotania katika Elimu.
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app