New Delhi: Tembea ujionee

New Delhi: Tembea ujionee

Mimi palinishinda siku ya kwanza nimetua, joto kali tena kule karibu na Pakistan hatari sana
Ubaguzi wa kishenzi
Pole, Mi nilikuwa New Delhi, ubaguzi haukuwa sana, ila msimu wa joto ni joto kweli kweli, na msimu wa baridi ni baridi kweli kweli, nashukuru niliweza kukaza mpk mwisho!
 
Zipo hta zaidi ya hiyo laki na 80, lakini kiuhalisia hapo alikuwa anapelekwa ktk nyumba ya laki au elfu 90 kwa mwezi, ndio maana kuna mdau kashauri dogo angefika kule angepata maujanja na hata chumba cha gharama nafuu zaidi angepata!
Bahati mbaya hatukupata hizi info mapema, pia inamaana hata vya elf70 vipo e? Namuonea huruma sana dogo alikua disappointed sana maisha yake ya chuo coz aliiona future yake kupitia new delhi
 
Bahati mbaya hatukupata hizi info mapema, pia inamaana hata vya elf70 vipo e? Namuonea huruma sana dogo alikua disappointed sana maisha yake ya chuo coz aliiona future yake kupitia new delhi
Kuna kushare room, hata elfu50 angeweza kulipa!
 
Pole, Mi nilikuwa New Delhi, ubaguzi haukuwa sana, ila msimu wa joto ni joto kweli kweli, na msimu wa baridi ni baridi kweli kweli, nashukuru niliweza kukaza mpk mwisho!

Mi nilienda chuo nikakaa siku 10 nikarudi Kusoma DIT maana kule sikupaweza hataa
Maticha wanazingua kishenzi
 
Mandhari ya gb road, New Delhi!
 
Attachments

  • gb road.jpg
    gb road.jpg
    9.9 KB · Views: 88
Kuna kushare room, hata elfu50 angeweza kulipa!
Sijui kwanini watu hua wanatoa wrong info kwa kujali sana cha juu, si ni bora mtu akwambie ukweli halafu adai malipo !
Anyway kwa kukosa kusoma faida gani amekosa na hasara gani ameepuka?
Shukran mkuu
 
Sijui kwanini watu hua wanatoa wrong info kwa kujali sana cha juu, si ni bora mtu akwambie ukweli halafu adai malipo !
Anyway kwa kukosa kusoma faida gani amekosa na hasara gani ameepuka?
Shukran mkuu
Tumeumbwa tofauti sana!
 
Nasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Kama sijakosea nadhani india inashika nafsi ya pili kwa ubaguzi kwa wanawabagua hata wale wenzao wahindi weusi
 
  1. Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi.
Aisee hii ni kweli, kuna mtoto wa ndugu yangu alikuwa anasoma huko India mambo ya uhandishi, wiki jana tumemzika: kisa ni kwamba alivyokuwa hapo India alipata demu wa kihindi, wahindi wakachukia walifika chumbani kwake (hostel) akiwa na roommate wake wakamtoa nje, wakamnyang'anya yule mwenzie simu, na yeye ni mtanzania, wakamnyonga kisha wakamrusha kutoa ghorofani hadi chini, yaani maiti ilikuwa inatisha, japo walimshonashona kichwa! kijana mbiiichii kazaliwa 1994!
 
Kwenye suala la papuchi hapo nakuunga mkono kwa asilimia 200! Tena afadhali hata huko Delhi kuna sehemu unaweza kununua, sehemu nyingi sana tena miji mikubwa kuliko ya bongo hakuna papuchi ya kununua au ya kuishika mkono uisalimie😀😀. I had the longest dry season ever over there, ndipo nikatambua useja unawezekana.

Useja unawezekana au sio
 
So sad. Sa hivi ndio visa vya mara kwa mara nchini India. Poleni sana.
 
mkuu umenikumbusha mbali sana nliwai ishi huo mji kipindi fulani kuna sehemu inaitwa INA dah kuna jamaa mmoja anaitwa vicky pale ni maarufu kushona suti balaa ukiwa mwafrika lazma ufike pale
 
Back
Top Bottom