Je utamaduni haumo ndani ya sanaa?Hapana mkuu, Polepole ni Habari sanaa na Michez0
Itabidi kila kitu kiwe cha washikaji zakeKwa hiyo mleta mada unataka Waziri wa Utalii asivae chupi bali ngozi tu za washikaji wake (wanyama pori)?
Daaah, mbona mimi sijasema hivyo mkuuItabidi kila kitu kiwe cha washikaji zake
Waziri wa michezo avae track suit au jezi za Taifa stars.Sio huyo tu,waziri wa ulinzi nae avae Gwanda,Amiri Jeshi mkuu nae Avae Gwanda.
Rais wa wanyonge nae avae ma lapulapu ku tanabaisha nchi maskini Tanzania.
Waziri wa Madini nae atinge kila aina madini na vito vya thamani.
Haki sawa kwa wote,
Sio maliasiri avae ngozi afu wa mazingira avae thuti.
Hapana mkuu, nadhani hapo ni utani tuu😂😂. Not a serious pointDaaah, mbona mimi sijasema hivyo mkuu
Poa mzee baba haina noma mkuuHapana mkuu, nadhani hapo ni utani tuu😂😂. Not a serious point
Hili ni wazo lako wewe mkuu ila sio madhumuni ya mada hiiWaziri wa michezo avae track suit au jezi za Taifa stars.
Ndugu Polepole anajitahidi sana yule kijana...Ila kwa jinsi Polepole anavyoielewa Ilani ya CCM na Maono ya Rais
Mungu akamsimamie katika harakati zake za kisiasa mkuuIla kwa jinsi Polepole anavyoielewa Ilani ya CCM na Maono ya Rais anaweza pia kuketi Ofisi ya Rais wizara ya Uwekezaji.
Mbona mimi sijasema hivi mkuu? Haya ni matusi sasa mzee baba tena kwa nafasi ya kiuongozi katika taifa...Kwa hiyo mleta mada unataka Waziri wa Utalii asivae chupi
Kuna mavazi mazuri sana ya asili yenye staha yanayoweza kutengenezwa kwa kutumia ngozi za wanyama pori mkuuKwa hiyo mleta mada unataka Waziri wa Utalii asivae chupi bali ngozi tu za washikaji wake (wanyama pori)?
Sanaa ni sehemu ya utamaduni kwa kiasi fulaniJe utamaduni haumo ndani ya sanaa?
Itawafanya watalii wawe na imani zaidi na sisi kama ambavyo mchagga hawezi kuuza mbege kwa mteja bila yeye binafsi kuionjaItapunguza/ongeza nn kwenye soko la utalii?
Hiyo kitu wananionaje haipaswi kuwa hususan kwa mzalendo ngazi ya uwaziri for so long as it's moral and beneficial to all Tanzanians.
Soldier muona mbaliHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri.
Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis Kigwangalla) akila kiapo akiwa hajavaa nguo za utamaduni wa mtanzania zaidi ya suti za mabeberu.
View attachment 1636325
Katika uvaaji wa mavazi ya asili, tunachovaa ni zaidi ya vitambaa tu vilivyoshonwa pamoja ili kutulinda miili yetu, bali nguo za asili ni ishara ya utambulisho wetu na pamoja tamaduni.
Kwa hivyo haishangazi kwamba kwa karne nyingi, jamii zimetumia mavazi kama njia ya kuwasilisha hadhi, tamaduni/mila na kusherehekea hafla muhimu na kuonyesha umoja ukiachilia mbali mambo mengi zaidi.
Mavazi ya asili huonyesha hisia ya ufahari katika jamii ya mtu na nchi na vile vile kuonyesha heshima kwa taifa lako. Haijalishi unatoka dini, ukanda ama kabila gani, kuvaa nguo za kitamaduni sio jambo baya ikiwa una sababu nzuri na maalum za kufanya hivyo.
Kuvaa nguo za kitamaduni sio jambo mbaya hata kidogo. Ninadhani inaweza kuwa ni jambo la kushangaza kwa mtu kuvaa nguo za kitamaduni wakati wote, angalau mtu aishi katika muonekano wa nyakati za kisasa kwa kuvaa suti na tai kwa kipindi fulani cha muda.
Waziri wa zamani wa utalii (Lazaro Nyalandu) akila kiapo akiwa hajavaa nguo za utamaduni wa mtanzania zaidi ya suti za mabeberu.
View attachment 1636333
Hata hivyo, watu wanapaswa kujaribu kuzivaa nguo za asili angalau mara moja moja. Ikiwa mtu ataamua kuvaa nguo za kitamaduni kutoka kwa utamaduni ambao hautokani na asili yake au yeye binafsi hautambui (Mjaluo kuvaa mavazi ya Kimaasai) basi ninapendekeza aombe maoni kutoka kwa mtu au watu ambao wanajua vizuri kuhusiana na vazi la kabila/tamaduni hiyo husika.
Nguo za jadi zinaonyesha utamaduni wa taifa. Nguo nyingi za kitamaduni zina vielelezo na vitu ambavyo vinavutia kutoka kwa wabunifu wengi hapa nchini Tanzania.
Kwa hivyo, mimi binafsi ninaamini, kuvaa mavazi ya kitamaduni katika hafla maalum (kama vile uapisho wa Waziri wa Utalii) ni njia nzuri sana ya mtu kujisikia yupo nyumbani.
NCHINI SWAZILAND - 12 MAY 2019: Newly sworn in Mayiwane MP, Eric Sifiso Matsebula was not to be left out as he quickly participated in Parliament business 20 minutes after taking his oath. Matsebula replaces David Shongwe who died last year.
View attachment 1636326
Before taking his oath, Matsebula who was in traditional wear was escorted into the House of Assembly by Mbabane West MP Johanne Shongwe and Ludzeludze MP Nonhlanhla Dlamini.
SOMA PIA>>> Kwanini mitaa ambamo kuna Balozi za nchi tano zenye nguvu duniani isiitwe majina ya vivutio vya utalii vya Tanzania?
NDUGU YANGU USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Huyu dada ni demu wako?
Kwa giyo ukitaka avae shati na pensi ya kitenge?Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.