New BABU National Hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New BABU National Hospital

Discussion in 'Jamii Photos' started by Inkoskaz, Mar 11, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Jionee mwenyewe Mambo ya kwa BABU. Huo umati Muhimbili haifui dafu
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,464
  Likes Received: 19,839
  Trophy Points: 280
  mkuu nimeamini wewe lazima utakuwa umeenda
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mkuu hapo tumekaa 2 days na tukashindwa kupata huduma tukageuza tukihofia ratiba za majukumu mengine kuharibika
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  New BABU World Referral Hospital Dunia nzima ita-salute kwa babu.
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Picha hii imenisikitisha sana sana huyu mama na mumewe, inaonyesha wanapendana, hawa ni watanzania wenzetu waliokata tamaa.

  [​IMG]
   
 6. m

  mbarbaig Senior Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu tunashukuru kwa updates
   
 7. JANGWANK

  JANGWANK Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Ulimwengu mzima utamjua babu!
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Hapa ndipo dawa inatoka jikoni!
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Dawa zenyewe ndizo hizi zikiwa mtamboni!
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kazi yako mie naikubali kishhhhhenzi! we ni mkali.....
  Habari na picha inaleta maana zaidi...
   
 11. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Kwanini Waziri wa Afya anahangaika na Babu badala ya kusaka zile Pharmacy zinazouza madawa yaliyopitiliza muda wake?
   
 12. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona hawazuii dawa za masai zinazouzwa ovyo mitaani,au mbona hawafanyii utafiti wa waganga wanaowapa dawa za ubunge na uwaziri?
   
 13. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Inawezekana serikali imasitisha huduma za Babu ili vigogo wapate nafasi ya kwenda bila bugudha wala watu kujua.
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Serikali kama wkao serious wanatakiwa wawapima watu waliopewa dawa na babu kama inafanya kazi badala ya kuwakatisha tamaa wagonjwa mahututi ambao wamefika kwa babu kupata dawa kutokana na kukosa dawa kwenye hospitali za serikali.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu, badala ya serikali kumzuia hapa red cross/ crescent wangepeleka tents na mobile toilets ili mamboa yaende vizuri na huduma nyingine muhimu. Wingi wa watu ni kuonesha kuwa ni kwa jinsi gani wati tuna matatizo na tuahitaji ufumbuzi, hiyo rangi ya kijani ya mimea imenipa raha kwani inaonesha mtumaini. Vumbi la barabara lina nikatisha tamaa kwani linaonesha uduni wa maisha na ubovu wa miundo mbinu. Hiyo nyumba ya tope inaonesha kuwa tuanhitaji kufanya kazi ya ziada kujaribu kunyanyua maisha ya watu. Babu amefanya kazi nzuri twaweza kupinga (kwa maneno au matendo) au kukubali (Kwa imani)
   
 16. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwa ukweli serikali isijaribu kuingilia uhuru wa mtu na imani yake,,,,,matibabu yao rasmi yamesindwa kumaliza kilio cha watu wengi ,hivyo wawaachie wachague matibabu mbadala ya bei nafuu,,,inatakiwa iwashauri watu waende kwa awamu kuepusha msongamani kama imeshindwa kuweka mahitaji ya uma kwa wakati mwafaka,,,,,
   
 17. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Long live Babu!
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hiva jamani kuna ushahidi wowote wa watu kupona na hizo dawa?
   
 19. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Msoropakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...uko juu
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nimekusoma Somoche...make adventure kwenda Samunge
   
Loading...