New BABU National Hospital

Jionee mwenyewe Mambo ya kwa BABU. Huo umati Muhimbili haifui dafu
......Mkuu hujatueleza kama ulienda kwa ajili ya kupata dawa ama kinga. Pia ulienda kwa ajili ya gonjwa gani kati ya yale makuu manne?
Ila Hospitali ya babu yaelekea haina longolongo.
NOTE: Babu ana miaka zaidi ya 70........
 
Jionee mwenyewe Mambo ya kwa BABU. Huo umati Muhimbili haifui dafu

We kichwa sana. Naona hii ya Babu ndiyo inastahili kuitwa hospitali kuu ya rufaa ya Tanzania. Ingawaje mpaka sasa hivi hakuna ushahidi wa kutosha kwamba kweli wagonjwa wenye magonjwa sugu wanapona kabisa.

 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom