Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,310
Reaction score
40,588
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi.

BREAKING:
Netanyahu is running away from Israel for now.

According to a special report from i24NEWS, the Zion Wing aircraft is currently airborne, accompanied by two Israeli fighter jets.
IMG_20250613_124502.jpg
IMG_20250613_104232.jpg
 
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu
Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi..

BREAKING:

🇮🇱 Netyanahu is running away from Israel for now

According to a special report from i24NEWS, the Zion Wing aircraft is currently airborne, accompanied by two Israeli fighter jets.
🤣😂😃

Sasa akimbie nini
1. Drones zote zaidi ya 100 zimepopolewa
2. Mfumo wote wa anga Iran umeharibiwa
3. Mkuu wa jeshi katunguliwa
4. Rocket launcher chali

Sasa Netanyahu anakimbia nini hapo
 
Anakimbia kuokoa kiwiliwili chake
⚡️ ✈️ Israeli Government Plane Zion Wing fleeing Tel aviv with high ranked politicians onboard.

IAF302 Boeing 767 reg 4X-ISR
 
Attachments

  • IMG_20250613_131706.jpg
    IMG_20250613_131706.jpg
    187.7 KB · Views: 16
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu
Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi..

BREAKING:

🇮🇱 Netyanahu is running away from Israel for now

According to a special report from i24NEWS, the Zion Wing aircraft is currently airborne, accompanied by two Israeli fighter jets.
Mabikra 72 for everyone 😂😂😂😂
 
Bora ungesema Rais ila waziri mKuu ni balaaaaaaaaaaaaa lingine Mjini......Ni kama ubaya ubwela
 
Mshapigwa hana cha kufanya mnasema Netanyahu kakimbia hahaha sasa Huyo Ayatollah hana hata pa kujifiicha.. pigo la mstuko wamepata pole zao waache kutishia wana wa Mungu wa Kweli.. umri wa Mungu wao tunaujua alipoanza kujulikana..

Iran Imesababisha vifo vingi sana kwa sera zao za kupiganisha Kuku sasa zamu yao na uongozi wa Ayatollah hautakuwepo tena after this vita.. Uhuru una gharama zake kwa Wa irani... Quran wameitupa wakitaka kupigana na Allah aliyewapa Israel Nchi kichekesho wanataka Israel ikaliwe na Arabs hahahaha
 
Kaona kwenye banker hapatoshi kaamua kukimbiza kinyeo Athens Uigiriki
 
Attachments

  • IMG_20250613_134957.jpg
    IMG_20250613_134957.jpg
    77.3 KB · Views: 17
Anakimbia kuokoa kiwiliwili chake
⚡️ ✈️ Israeli Government Plane Zion Wing fleeing Tel aviv with high ranked politicians onboard.

IAF302 Boeing 767 reg 4X-ISR
kuokoa kiwiliwili kutoka wapi? ambae kajificha saa hizi ni ayatolag na yeye akijifanya jeuri wanakula kichwa
 
Back
Top Bottom