Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,499
- 867,356
Kwa picha: Tazama uharibifu wa mashambuliizi ya Israel mjini Tehran nchini Iran
bbc.in
Israel yalenga maeneo ya nyuklia ya Iran na makamanda wa kijeshi katika mashambulizi makubwa - BBC News Swahili
Msemaji wa jeshi la Iran anasema kuwa Israel ilifanya mashambulizi nchini Iran kwa msaada wa Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti.