Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

Israel hata sudani tu haiwezi kuipiga bila msaada wa US , ukishabikia kilokole hauwezi kunielewa, waisraeli wengi wametepeta wengi wao ni mapapai tu hawana jipya
Bc na nyie tafuteni msaada afu mje tena tuwanyooshe
 
Umeekewa hadi ushahidi bado unapinga!
Aisee wewe ni kiazi.
Kwa hiyo na ww apo unaona umeongea point

Can you refute your statement Kama hiyo ndege ni ya Netanyahu from which source??? Ok vip ndani ya iyo ndege yupo Netanyahu???

Kitu chochote ukikifanya kwa mahaba lazma uwe kipofu . Operation nzima ya mashambulizi kaongoza Netanyahu ndani ya situation Room na ndio katoa green light Kwa askili kufanya shambulio unazani Israel ni mpumbavu kiasi icho ku fanya mission kubwa hivyo asijue consequences???
 
🤣🤣 bwana yesu asifiwe ndugu mtumishi
Sasa hv tunaenda na babu Netanyahu, mitano tena babu

download.jpeg
 
Mpaka sasa aijawa wazi kama Israel ilituma ndege au ni UGAIDI wake Shambulizi limetokea ndani ya Iran vijana wa Mossad wameunda drone za milipuko!!!

kama wafanyavyo Ukraine ndani ya Russia !!!

lengo la Ugaid ni kuwauwa makamanda muimu tu na zengine kwenda kulipuka kwenye sites za Nuclear !!!

ndege za Israel zinazooneshwa ni changa la macho !!!

Netanyahu na ISRAEL zimeishiwa nguvu au technology kwasasa zimo kwenye kutapatapa kama kuku aliechinjwa !!!!

wanaishi kwa Ugaid sio uwezo wa kijesh kama tunavyoamini au wanavo tuaminisha...
 
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi.

BREAKING:
Netanyahu is running away from Israel for now.

According to a special report from i24NEWS, the Zion Wing aircraft is currently airborne, accompanied by two Israeli fighter jets.
View attachment 3366761View attachment 3366762
Tangu naanza kuifuatilia Iran...ikipatwa na hasira tu huwa inakanyaga bendera ya Israel na kupandisha bendera nyekundu ...baada ya hapo inaingia bandani kama mbwa koko
 
Mpaka sasa aijawa wazi kama Israel ilituma ndege au ni UGAIDI wake Shambulizi limetokea ndani ya Iran vijana wa Mossad wameunda drone za milipuko!!!

kama wafanyavyo Ukraine ndani ya Russia !!!

lengo la Ugaid ni kuwauwa makamanda muimu tu na zengine kwenda kulipuka kwenye sites za Nuclear !!!

ndege za Israel zinazooneshwa ni changa la macho !!!

Netanyahu na ISRAEL zimeishiwa nguvu au technology kwasasa zimo kwenye kutapatapa kama kuku aliechinjwa !!!!

naishi kwa Ugaid sio uwezo wa kijesh kama tunavyoamini au wanavo tuaminisha...
Kumuua mpaka general ndo nguvu yenyewe hiyo kwani wewe ulifikiria nguvu ipi? Tunakata shina Kwa nini uhangaike na wanaopewa amri Tu!?
 
Unakumbuka 2018?
Trump alitoa mkwara kama huu ama zaidi ya huu,alipeleka hadi battle ship ukingo wa Mediterranean sea.
Trump sio mara kwanza kumpa mikwara Iran.
Response ya Iran itakua kubwa sana tupo hapa.
IMG_8247.jpeg
 
Back
Top Bottom