Chieflumanyika
Senior Member
- Nov 27, 2015
- 130
- 142
Amekimbilia wapi ndugu mchambuzi
Dah! Sasa anakimbia kuwaachia msala raia wake 🤔🤔🤔Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu
Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi..
BREAKING:
🇮🇱 Netyanahu is running away from Israel for now
According to a special report from i24NEWS, the Zion Wing aircraft is currently airborne, accompanied by two Israeli fighter jets.
Umeekewa hadi ushahidi bado unapinga!Labda Netanyahu wa kijijini kwenu.
Zee jinga kama nini, linachokoza nyuki, halafu kama kipepe linatoka baruti kuwaachia ma Zionist wenzake wafe!Kaona kwenye banker hapatoshi kaamua kukimbiza kinyeo Athens Uigiriki
mnasema amekimbia mara tutasikia Ayatola kachapwa
Hahahaha🤣🤣Benjamini Netanyahu nasikia unajibanzabanza kama askofu gwajima.