B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Masjid tandale kwa tumboChanzo cha habari yako??
Masjid tandale kwa tumboChanzo cha habari yako??
Anajifurahisha huyo. Badala aseme ayatollah kakimbia🤣😂😃
Sasa akimbie nini
1. Drones zote zaidi ya 100 zimepopolewa
2. Mfumo wote wa anga Iran umeharibiwa
3. Mkuu wa jeshi katunguliwa
4. Rocket launcher chali
Sasa Netanyahu anakimbia nini hapo
Picha za kutengeneza 🤣🤣🤣Anakimbia kuokoa kiwiliwili chake
⚡️ ✈️ Israeli Government Plane Zion Wing fleeing Tel aviv with high ranked politicians onboard.
IAF302 Boeing 767 reg 4X-ISR
Mkuu kobazi utabishana nao kama kenge tu mpaka ayatollah aliwe kichwa labda atakuelewaKwa hiyo na ww apo unaona umeongea point
Can you refute your statement Kama hiyo ndege ni ya Netanyahu from which source??? Ok vip ndani ya iyo ndege yupo Netanyahu???
Kitu chochote ukikifanya kwa mahaba lazma uwe kipofu . Operation nzima ya mashambulizi kaongoza Netanyahu ndani ya situation Room na ndio katoa green light Kwa askili kufanya shambulio unazani Israel ni mpumbavu kiasi icho ku fanya mission kubwa hivyo asijue consequences???
Lengo kuu kabisa kwa sasa sio kumdisable Chief. Ni pressure akubali deal na ajue ukaidi wowote utapelekea hali kuwa mbayaHilo Bado halitoshi kum disable Iran mkuu.
Kwasababu silaha Bado anazo tena nyingi.
Akitoka hapo ni kufanya marekebisho na kufanya retaliation.
Natamani sana anyooshweNetanyahu anaambaa ambaa na Kuta kutafuta maficho
Lengo kufikiwa ni gumu.Lengo kuu kabisa kwa sasa sio kumdisable Chief. Ni pressure akubali deal na ajue ukaidi wowote utapelekea hali kuwa mbaya
Mossad wametisha sana na intelijesia yao kiwango cha juu. Shambulio la kuua Mkuu wa Majeshi na Makamandaa kadhaa ndani ya siku moja sio mchezo
Hata Ali Khamenei mwenyewe wanajua hadi kitanda chake kilipo na his days are numbered kama Netanyahu atatoa go ahead
RabaikaNgoja tuone