janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Hebu rudi basi kuna kitu nataka kukwambia.
mbembeleze arudi bana hata mie nina mazungumzo nae.
Hebu rudi basi kuna kitu nataka kukwambia.
napita tu!
mbembeleze arudi bana hata mie nina mazungumzo nae.
Ngoja nimsubirie lakini muda wa kifurushi nilicho jiunga unakaribia kuisha.NAKUMBA TAFADHALI UNIONGEZEE SALIO Kesho Nitakulipa.
Hebu rudi basi kuna kitu nataka kukwambia.
kweli unafaidi.
Nalog off
vifurushi vyako vya kubipu nawewe! Haya nishakutumia tayari.
Mmhh....
kweli yaelekea nimepotea njia nipitie wapi?
mambo yalinibana sana ndo mana niliadimika sana ila sasa nipo
Upo bize kusaka hela sana hivi wewe ni mchaga nini? .Maana upo bize ku saka hela sana na ni muda mchache sana unakuwa humu jamvini . JE WEWE NI MCHAGA?
Ha ha hah ha una maneno wewe.Nani alikufundisha mkuu.
Asante kwa kurudi nilitaka kukwambia lakini ghafla nimejikuta naona aibu aibu imenijaa.Ngoja basi ni wahi kazini muda huu .Mida ya jioni hivi ndo nitakuwa humu jamvini sasa na log out .Ikifika jioni nitakwambia.
Nafaidi nini tena Hahhahhahahhah
Heheee haya nakusubiri hapa
Asante kwa kurudi .SASA KABLA YA KUSEMA NILICHO KUITIA NILITAKA kujua tabia yako ikoje je wewe ni mkali sana,upo wastani au ni mpole sana je una hasira sana au unahasira kidogo .NILIPENDA KUJUA TABIA ZAKO MIONGONI MWA HIZI ILI NIWEZE KUJIPANGA VIZURI NAMNA YA KUFIKISHA UJUMBE NILIOKUSUDIA.Hapa nilipo mikono inatetemeka kwa hofu .JE WEWE upo Peace Naweza Kusema Nacho Taka Kusema.SIJUI KAMA NITAKUWA NIMEELEWEKA .MAANA HATA MIMI SIELEWI NIMESEMA NINI .
hahahaaa umenifurahisha na maneno yako duh acha uoga jaman utapitwa na bahati.
Ujue sipendi kupewa za uso kama nilivyo pewa kwenye jukwaa lile.Je unaweza kunisaidia kufikisha ujumbe