Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
"Mimi napita tu" ni comment ambayo nimekuwa nikikutana nayo kwenye Thread Nyingi sana .Sasa hii comment inaumuhimu gani humu jamvini maana najaribu kufikiria bado sielewi comment hii ina maana gani .

Hivi inakuwaje Wakuu Mbona Hakuna Njia Humu Lakini Watu Wanapita Tu . Ngoja Niwasilishe.
 
Kuna makundi makuu matatu ya watu.
1.Mwerevu-huyu anajua na anajijua kua anajua mfuate akuelekeze.

2.Mjinga-hajui na anajijua kua hajui anahitaji kufundishwa.

3.Mpumbav.u hajui na hajijui kua hajui achana nae.
 
"Mimi napita tu" ni comment ambayo nimekuwa nikikutana nayo kwenye Thread Nyingi sana .Sasa hii comment inaumuhimu gani humu jamvini maana najaribu kufikiria bado sielewi comment hii ina maana gani .Hivi inakuwaje Wakuu Mbona Hakuna Njia Humu Lakini Watu Wanapita Tu . Ngoja Niwasilishe.

Kumbe unajaribu kufikiria!!!!! Usijaribu kufikiria, fikiria kwa makini utapata jibu sahihi. anzia na "humu jamvini" utafute ukumbi ukiukosa ndipo ukaze macho kuiona njia, kwa kuwa hutaiona njia utajikuta wewe na "anayepita" mnagombea fito huku mnajenga nyumba hiyo hiyo.
Naondoka.
 
Back
Top Bottom