Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Nashukuru kama hujapita .Nilitaka kujua kwa sasa unaishi mkoa gani, wilaya gani pia wewe ni kabila gani .Kwa upande wangu ni Mgogo Kwa Sasa Nipo Songea Sehemu Iitwayo Bombambili Vipi Wewe Unaishi Wapi.Naomba Unijibu Haraka Kabla Bundle Langu Halijaisha Maana Saa 8 kamili bundle linaisha.

dah umenifanya nicheke pekeangu, ngoja nipite tu sijui kama nitarudi.
 
Ina maana kipindi chote hiki nilikuwa bado mdogo.Acha Kuniaibisha Mkuu.

Nashukuru kama hujapita .Nilitaka kujua kwa sasa unaishi mkoa gani, wilaya gani pia wewe ni kabila gani .Kwa upande wangu ni Mgogo Kwa Sasa Nipo Songea Sehemu Iitwayo Bombambili Vipi Wewe Unaishi Wapi.Naomba Unijibu Haraka Kabla Bundle Langu Halijaisha Maana Saa 8 kamili bundle linaisha.

Umeona hayo unayoyaandika? SAYANSIKIMU wewe sio kwamba wewe ni mtoto tu wa kiume bali pia ni mtoto wa mama!

Napita,sirudi tena
 
Last edited by a moderator:
dah umenifanya nicheke pekeangu, ngoja nipite tu sijui kama nitarudi.

Hahahhah Nakuomba urudi nimeshaongeza bundle sasa hivi .Kama usiporudi nakufuata hukohuko unapokwenda .Siku ya leo na hamu kweli ya kupiga stori na wewe.Njoo tafadhali tu storike humu .Usiogope mimi mtu wa amani tu halafu nipo peace sana.
 
Umeamua kunipa za uso halafu unapita tu na haurudi tena.NGOJA NA MIMI NIKUFUATE Ni Kupe Za Uso Halafu Nipite Tu Kama Wewe Ulivyofanya.
 
Last edited by a moderator:
dah umenifanya nicheke pekeangu, ngoja nipite tu sijui kama nitarudi.

LEO ni nahamu ya kupiga stori lakini watu waku storika nao siwaoni .Njoo tu storike humu maana hapa nilipo nimepoa kweli.
 
Hahahhah Nakuomba urudi nimeshaongeza bundle sasa hivi .Kama usiporudi nakufuata hukohuko unapokwenda .Siku ya leo na hamu kweli ya kupiga stori na wewe.Njoo tafadhali tu storike humu .Usiogope mimi mtu wa amani tu halafu nipo peace sana.

ukinifata hutoniona utaishia kupotea. Naondoka.
 
USIONDOKE subiri nikuulize basi ujue kama nakufananisha vile ndio maana nataka kujua kwanza unaishi wapi halafu we ni kabila gani .NAKUOMBA USIONDOKE maana ukiondoka itanibidi ni logout akainti yangu .Maana sioni sababu ya kuwa online halafu hakuna wa ku storika naye.
 
muulize my husband atakuambia.
 
muulize my husband atakuambia.

Si mfahamu na sitaki kumjua .Basi tuache hayo we ni dini gani maana nakuona kama mpole sana halafu una huruma mno .Mimi kwa upande wangu ni mkristo dhehebu la Anglican .KUFAHAMIANA NI JAMBO MUHIMU SANA MAISHANI.
 
mkristo ka wewe, thehebu nimesahau kidogo.. Nitarudi.
 
Kumbe Tuko Dini Moja Nimefurahi Sana .Basi sio vibaya ukaniambia umejifunza nini kanisani siku ya leo maana mimi sijaenda kanisani .Ni hubirie basi kidogo ulicho jifunza .Ibadani Siku Ya Leo.
 
tumefundishwa namna ya kuishi katika utakatifu tusiishi kama watu wasomjua Mungu efeso4:17-20.
 
Asante Sana Kwa Ujumbe Wako Mzuri Sana .Mimi Kuna Andiko Nalipenda Sana Linasema MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO nimesahau limeandikwa wapi .Je Wewe Unanipenda Mimi Kama Nafsi Yako.Mimi binafsi nakupenda sana kama nafsi yangu kama hili andiko linavyo sema vipi mwenzangu na wewe unanipenda.
 
nawapenda wote.
 
nawapenda wote.

Mimi sijauliza wote nimeuliza Kwa mimi .Je unanipenda kama unavyo penda nafsi yako KAMA HILI ANDIKO LINAVYO SEMA.Mimi NAKUPENDA kama nafsi yangu JE NA WEWE UNANIPENDA kama nafsi yako.
 
nikiwapenda wote na wewe umo.
 
Back
Top Bottom